Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,977
EU wangehangaika na Uingereza inayojitoa kwenye ka umoja kao uchwara.
Tanzania ya sasa siyo ya kupangia namna ya kuishi na wala haihitaji huruma ya EU.
Tumewakumbatia kwa muda mrefu lakini nchi yetu haibadiriki ,iko vilevile tu ,sasa tumeamua kuwaacha mnalialia tuacheni twende zetu.
Ulaya ndiyo haiwezi kuendelea bila Afrika ,lakini siyo Afrika eti ishindwe kuendelea bila ulaya .!
Kuamini hivyo ni utumwa mtupu raw material zote wanatoa Afrika
Na inasikitisha sana kuona Chadema ndiyo watetezi watetezi wa EU na makoloni mengine ya nchi yetu.