Kwanini hawana nchi? Wakati wao ni taifa linalotambuliwa kibiblia?Inamaana katika hiyo ramani hujaona Galatia ilipo!? Kipindi kile Galatia ilikuwepo sehemu ya kusini ya mkoa wa Kirumi. Makanisa ya Galatia yaliyoanzishwa na Paulo yalikuwa ya Antiokia, Ikonio, Listra na Derbe (Matendo 13:13-14:23), baaadae Paulo alirudi katika Antiokia ya Shamu(Syria) (Matendo 14:26-28) akiwa huko Antiokia ya Shamu ndio inafikiriwa aliandika barua kwa Wagalatia alipoishi huko Antiokia ya Shamu wakati huo...
Ingekuwa ni kipindi hichi basi ni Uturuki ndipo Galatia ilipokuwa, Kipindi hicho eneo lote hilo lilikuwa ni Dola ya Rumi...
So if Hamas is not a terrorist organization, what does one call a group of 'people' who attack children, babies and pregnant women and brutally murder innocent civilians standing at a train station. What do you call a homocide bomber on a bus who commits mass murder to get to their 72 virgins. What do you call a group of people calling for the destruction of a sovereign state where all freedoms are enjoyed by all religions. If these are not terrorists please, someone explain what this murderous lot is titled?
Wapi kwenye Biblia Galatia imetambuliwa kama Taifa!? Labda nikuulize, ni kwanini sasa hivi Warumi hawatawali maeneo yote hayo!? kwasababu Empire ya Rumi ilikuwa ni kubwa... Rumi ya mashariki walikuwa na makao makuu huko Uturuki, Ottoman walikuja kuchukua...Kwanini hawana nchi? Wakati wao ni taifa linalotambuliwa kibiblia?
If ancient nations have to have a state just because the bible/ Quran recognized them.
Kumbe hata Egypt, Qatar, nk zinawaita Hamas magaidi?
Wapi kwenye Biblia Galatia imetambuliwa kama Taifa!? Labda nikuulize, ni kwanini sasa hivi Warumi hawatawali maeneo yote hayo!? kwasababu Empire ya Rumi ilikuwa ni kubwa... Rumi ya mashariki walikuwa na makao makuu huko Uturuki, Ottoman walikuja kuchukua...
Halafu kwani wapi Wagalatia wanapigania eneo lao kama Wapalestina!? Huo mfano wako haufanani na wa Israel... Israel inatambuliwa kwakuwa imetajwa pote... na historia ya Israel inajulikana, hata baadhi ya nchi pale Mashariki ya kati, ndio maana zipo mahali pake... Je hao Wa Palestina walitokea wapi!? Utamaduni wao upo vipi!? Rais wa kwanza wa Palestina ni nani!? alianza kutawala lini!? kabla yake kulikuwa kuna nini!?
kuna wakati Yesser Arafat ambaye alikuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la PLO alipewa tuzo ya amani ya Nobel . He was the worst man ever to win Nobel Prize.!(1994) Bora wangenipa mimi hii tuzo.
Alipewa Tuzo hiyo sambamba na viongozi wa Israel wakina Yitzak Rabin na Shimon Peres.
Kitendo kama hiki kinasaidia pale alipojikuta amekaa meza moja na fine people, na kinapunguza U-radical wake. NAkumbuka Sadam hussein alishauriwa na Kofi Anan aache kuvaa nguo za mgambo badala yake awe anavaa suti. Akazingatia huo ushauri.
Nadhani EU wanajaribu ku apply different approaches ili kudhohofisha Ugaidi wa waarabu duniani. Make your enenmey a friend. IKiwa HAmas watajikuta wanatambuliwa na wanaheshimiwa na wazungu, probably wataacha ama kupunguza inferirority complex yao inayofafanya wajitutumue duniani kuwa wanao ubavu wakati wanatumia upinde na Mwisraeli anamiliki bunduki.
hii inaweza kusaidia kuwafanya wajifunze kuvaa suti na wao badala ya vazi la ninja kama matineja, na pia itawasaidia kuelewa wazungu wanawaza nini.
Unajua Tatizo nilionalo kwa waarabu ni kuwa huwa wanakaa wenyewe, na kupitia kukaa wenyewe huwa wanadanganyana wakilishana matango pori na conspiracies, dhidi ya wazungu na Israel.huku wakidhani upande wa pili wa coin unawafikiria jinsi wanavyojifikiria. Nafikiri hii inaweza kufanya wakaachana na mbinu za kishetani za Ugaidi pale mashariki ya kati.
Sasa wewe unawaona hawa terorist ambao wanadai uhuru wao, je waisrael wanaua watu kutoka angani kwanini hawaitwi terrorist, Hammas ni freedom fighters hatuzishangai kuitwa hivyo na nchi za magharibi hata Mandela aliitwa terrorist alipoanza kudai uhuru.So if Hamas is not a terrorist organization, what does one call a group of 'people' who attack children, babies and pregnant women and brutally murder innocent civilians standing at a train station. What do you call a homocide bomber on a bus who commits mass murder to get to their 72 virgins. What do you call a group of people calling for the destruction of a sovereign state where all freedoms are enjoyed by all religions. If these are not terrorists please, someone explain what this murderous lot is titled?
hii inafuata unabii uliopo kwenye baibo...kaperuzi uone.Ilikuwaje walikimbia. nchi yao mpaka wakakutana Hitler pale Ujerumani ?
May be Sharia court.That court should and must order The US and Israel be in the blacklist of terrorist Nations.
katiba yao inatosha kuwa-listi kwenye kundi moja la terrorist organization. wana mikakati kama ISIS, Taleban, Bokoharam, Ashshabaab, Nusra front, Muslim brotherhood n.k. google uione..Sasa wewe unawaona hawa terorist ambao wanadai uhuru wao, je waisrael wanaua watu kutoka angani kwanini hawaitwi terrorist, Hammas ni freedom fighters hatuzishangai kuitwa hivyo na nchi za magharibi hata Mandela aliitwa terrorist alipoanza kudai uhuru.
Wagalatia ni taifa la zamani, hawapiganii eneo kwa sababu wameishi na watu wengine wakazaa na kuchanganyika na waturuki, wamacedonia, wagiriki etc...Wapi kwenye Biblia Galatia imetambuliwa kama Taifa!? Labda nikuulize, ni kwanini sasa hivi Warumi hawatawali maeneo yote hayo!? kwasababu Empire ya Rumi ilikuwa ni kubwa... Rumi ya mashariki walikuwa na makao makuu huko Uturuki, Ottoman walikuja kuchukua...
Halafu kwani wapi Wagalatia wanapigania eneo lao kama Wapalestina!? Huo mfano wako haufanani na wa Israel... Israel inatambuliwa kwakuwa imetajwa pote... na historia ya Israel inajulikana, hata baadhi ya nchi pale Mashariki ya kati, ndio maana zipo mahali pake... Je hao Wa Palestina walitokea wapi!? Utamaduni wao upo vipi!? Rais wa kwanza wa Palestina ni nani!? alianza kutawala lini!? kabla yake kulikuwa kuna nini!?
May be Sharia court.
Ilikuwaje walikimbia. nchi yao mpaka wakakutana Hitler pale Ujerumani ?
That is exactly what Israel does to Palestinians.So if Hamas is not a terrorist organization, what does one call a group of 'people' who attack children, babies and pregnant women and brutally murder innocent civilians standing at a train station. What do you call a homocide bomber on a bus who commits mass murder to get to their 72 virgins. What do you call a group of people calling for the destruction of a sovereign state where all freedoms are enjoyed by all religions. If these are not terrorists please, someone explain what this murderous lot is titled?
Wagalatia ni taifa la zamani, hawapiganii eneo kwa sababu wameishi na watu wengine wakazaa na kuchanganyika na waturuki, wamacedonia, wagiriki etc...
Wangoni,ni wazulu waliokimbia vita na wakazaa na kuchanganyika, hawadai nchi yao. Wapalestina ni philistines, au wafilisti ambalo nalo ni taifa la zamani lililochanganyika na mataifa mengi tu, wakiwamo waarabu ambao ni watu wa mwisho kukalia eneo hilo.
Tatizo la wayahudi ni kutaka kuchukua eneo ambalo mababu zao walilikimbia na kuwafukuza wakaazi wa eneo hilo. Sawa na wangoni warudi Kwazulu kuanzisha taifa lao. Ni ujinga!
The West is not tired of Israel but tired with People who called Palestinians. These people have no nation, not language, no currency, no birth certificate, no military, no banks, they have nothing. These people are not even mention in the Quran.
The simple question here is this: Allah alipo sema na au waita na au Wataja Waisrael kwenye Quran, Waisraeli hao, walikuwa wanatoka Nchi gani?
CC: Eiyer Mkuu wa chuo 2013
Sharia court will come sooner or later, now we have Shariah banking, stop that if you can. Imbecile.
Unaijua Nchi aliyotawala Pharao/ Firauni?The West is not tired of Israel but tired with People who called Palestinians. These people have no nation, not language, no currency, no birth certificate, no military, no banks, they have nothing. These people are not even mention in the Quran.
The simple question here is this: Allah alipo sema na au waita na au Wataja Waisrael kwenye Quran, Waisraeli hao, walikuwa wanatoka Nchi gani?
CC: Eiyer Mkuu wa chuo 2013
The point is, wapalestina wana haki ya kuwa na nchi inayotambulika kimataifa na mipaka yake iwe kama Uingereza ilivyoiacha. La hasha, iwe pre-1967 kama moderates wanavyodai.Lakini Historia ya Israel ni tofauti na hao wote, kwenye bandiko langu #34 nimejaribu kugusia kidogo sijashuka sana... Hawa jamaa walikuwa wanatawanywa halafu wanarudi tena, kwa mfano Wababiloni waliwahi kuwatawanya hapo ilikuwa ni kabla ya Kristo, kipindi hicho ndio wakawachukua kina Danieli mateka... mpaka baadae kina Ezra na Nehemia wakarudi kuijenga... baadae Warumi wakaja kuwatawanya tena... Kwa hiyo historia yao ni tofauti na hao...