Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,886
- 4,606
Nasikia kuwa utumishi hawawezi kuita watu Usaili Dodoma kwa kada yoyote Ile mpaka sensa iishe, yaani watu waendelee kusubiri hadi kuanzia mwezi September huko na kuendelea (kwamba wanahisi watavuruga zoezi la sensa).
Hivi kweli PSRS wanaweza kuzimaliza hizi saili kwa kazi zote ndani ya mwaka huu..?
Kuna kazi za TRA Sasa ni mwezi wa 6, yaani ni NUSU MAWAKA toka watu walivyoomba.
Imekaajeh hii JobSeekers..?
Hivi kweli PSRS wanaweza kuzimaliza hizi saili kwa kazi zote ndani ya mwaka huu..?
Kuna kazi za TRA Sasa ni mwezi wa 6, yaani ni NUSU MAWAKA toka watu walivyoomba.
Imekaajeh hii JobSeekers..?