The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 217
SAKATA la usajili wa mganda Emmanuel Okwi kutua Yanga limeibuliwa tena na timu yake ya awali iliyokuwa ikimmiliki ya Etoile Du Sahel ya TunisiA, baada ya kuifungulia madai ya fidia timu ya Sports Club Villa ya Uganda ya euro milioni 1 (TZS BILIONI 2.2) kwenye Shirkisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa kosa la kumuuza mchezaji wao huyo.........
SOURCE; MTANZANIA
SOURCE; MTANZANIA