otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 100
- 135
Wanaume msiokunywa bia na hampendi football kwani starehe yenu ni nini?
Kwenda vocation bila "kuwa na mtu" wa liwazo, badala ya kupumzika waweza ambulia stress bure.Kwenda vacations
Tutafute hela starehe zipo za kumwaga.....!!Wanaume msiokunywa bia na hampendi football kwani starehe yenu ni nini?
Namaanisha godoro lako linaruhusu uhame mchana?Unamaanisha starehe ni mbili tu duniani?