Lini wasiokunywa pombe wataheshimiwa bar?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,168
Reaction score
8,981
Unakuta hata wale wahudumu wanakudharau wanakuona kama unawasumbua vile

Usipokaa sawa unaweza kula msonyo[emoji57][emoji57] wa nguvu laivu

Wengine wanakuona kama umepotea njia vile

Wengine wanakuuliza kama unaumwa au upo kwenye dozi

Wajameni kwani wanywa soda wanalipa mawe?

Kwani usipokunywa bia ni dhambi?[emoji2357]

Tuheshimiane wajameni, kila mtu ana starehe yake
 
Huwezi kuheshimiwa na wahudumu maana huwa tukiagiza bia wanatuomba ya soda, sasa ukiagiza soda watakuomba nini au waombe ya pipi?
 
Unakuta hata wale wahudumu wanakudharau wanakuona kama unawasumbua vile

Usipokaa sawa unaweza kula msonyo[emoji57][emoji57] wa nguvu laivu

Wengine wanakuona kama umepotea njia vile

Wengine wanakuuliza kama unaumwa au upo kwenye dozi

Wajameni kwani wanywa soda wanalipa mawe?

Kwani usipokunywa bia ni dhambi?[emoji2357]

Tuheshimiane wajameni, kila mtu ana starehe yake
Yaani kabisa unaenda kubana nafasi Bar kwa kukaa na kunywa soda? Viduka vya mangi huvioni? Halafu unakuja kulalamika.. seriously?
 
Barmaid anajituma kwa anaetoa keep change. Tatizo wanywa soda mnadai hadi change ya sh 100.
Sasa imagine umenunua soda 1 umetoa buku, chenji 400 na bado unadai..😅.

Muhudumu Akijikausha na ka 400 kako unamwita ,unmuongezea ka 200 iwe 600 unamwambia akuletee soda nyingine mchezo umeisha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mwanaume kutokunywa bia ni udhaifu namba 1

Sent using Jamii Forums mobile app
Bia zina pytoestrogen na prolactin. Hizo chemicals mbili zina chochea uzalishaji wa estrogen mwilini. Uzalishaji wa estrogen unapunguza uzalishaji wa testosterone mwilini. Mpaka hapo mlevi ni mwanaume dhaifu maana mwili wake umejaa estrogen, homoni ya kike.
 
Back
Top Bottom