Eti wazazi wa mkwe wako wanaitwaje?

Mimi nataka kujua wazazi wa mkwe wako utawaitaje!
Screenshot_20220407-180103.jpg
 
Babu au Bibi kwa maana mke wako au mume wako watakuwa Bibi au Babu na wewe unawaita majina anayoita mwenza wako. Bibi wa mke wako ni Bibi yako pia.
 
Back
Top Bottom