Hivi kweli tangu asubuhi hadi usiku watanzania tunatumia Bidhaa ya Nje badala ya nchini kwetu. Mimi najua nakunywa uji, chai au supu ya hapa hapa nchini. Ugali wa muhogo, mahindi, uwele au mtama wa hapa hapa nchini kwetu
Alisisitiza juzi wakati wa kupitisha bajeti akisema kama nchi hatutaweza kuishi bila mikopo ya nje tena kwa kuwabeza ukawa. Leo kafikiri vizuri tena! Ccm hamnazo kabisa aiseee...eti kuchangia ubora wake kwa wanachi hadi awe rais. Bungeni ni mwendo wa ndioooooo akitoka anaanza kebehi kwa wananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.