blackforest
New Member
- Dec 8, 2015
- 4
- 0
Na wwe kuwa mweupe ili uwapagawisheKwa utafiti niliyofanya, nimegundua Wanaume wengi wanavutiwa zaidi na mwanamke weupe kuliko weusi. Unakuta wanawake wawili labda wanafanana features kama face shape, macho, figure lakini tofauti rangi, basi yule mweupe ndo anashobokewa kuliko mweusi.
Wanaume nawashangaa, wako tayari kuwa na mwanamke shapeless, sura imekomaa, mladi ni mweupe.
Ni ushamba au mimi tu nina mtazamo wa tofauti. Kwanini tunajikataa waafrica uhalisia wetu.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX XXXXXXXX
Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana kila kukicha wana JF wanaanzisha thread kuhusu yeye tu basi awekwe Museum kwa maonyesho...wanawake wanawake ntaanzisha threads hadi mfe pressure to know who is a woman sio mchezo
Kwa upande wangu mwanamke kama hana shape,boosta,makalio duh!! hanioni nilipopita hata kama anafanana rangi na Kim Kardashian au Lupita nyong'o..Kwangu rangi sio kigezo cha kumpata mwanamke ninaye mtaka..Awe mweusi kama mkaa+vigezo navyotaka mimi hapo sawaKwa utafiti niliyofanya, nimegundua Wanaume wengi wanavutiwa zaidi na mwanamke weupe kuliko weusi. Unakuta wanawake wawili labda wanafanana features kama face shape, macho, figure lakini tofauti rangi, basi yule mweupe ndo anashobokewa kuliko mweusi.
Wanaume nawashangaa, wako tayari kuwa na mwanamke shapeless, sura imekomaa, mladi ni mweupe.
Ni ushamba au mimi tu nina mtazamo wa tofauti. Kwanini tunajikataa waafrica uhalisia wetu.