Brine JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 375 Reaction score 71 Dec 22, 2011 #21 Neema said: waache waringe na shape zao,sasa mtu kama mie nivae hivyo...si nitachekesha umati lol Click to expand... we acha tu
Neema said: waache waringe na shape zao,sasa mtu kama mie nivae hivyo...si nitachekesha umati lol Click to expand... we acha tu
D Doi Member Joined Dec 22, 2011 Posts 23 Reaction score 1 Dec 22, 2011 #22 kwa raha zake jaman cha ajabu nini?
Atabase Agaya Senior Member Joined Dec 7, 2011 Posts 120 Reaction score 41 Dec 22, 2011 #23 Neema said: waache waringe na shape zao,sasa mtu kama mie nivae hivyo...si nitachekesha umati lol Click to expand... Kwani wewe una tatizo gani? Mbona hujiamini?:A S 465:
Neema said: waache waringe na shape zao,sasa mtu kama mie nivae hivyo...si nitachekesha umati lol Click to expand... Kwani wewe una tatizo gani? Mbona hujiamini?:A S 465:
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 87,477 Reaction score 151,594 Dec 22, 2011 #24 Kivazi kimepitishwa na Waziri wa Utamaduni Emmanuel Nchimbi kwamba kimefikia viwango vya utamaduni wa Mtanzania lakini? Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mh.Dk Emmanuel Nchimbi Ameitaka Kamati Mpya ya Kubuni Vazi la Taifa Kukamilisha Mchakato wa Kupata Vazi hilo Ndani siku 75 H@ki Ngowi: Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mh.Dk Emmanuel Nchimbi Ameitaka Kamati Mpya ya Kubuni Vazi la Taifa Kukamilisha Mchakato wa Kupata Vazi hilo Ndani siku 75 Kwa hisani ya Hakingowi
Kivazi kimepitishwa na Waziri wa Utamaduni Emmanuel Nchimbi kwamba kimefikia viwango vya utamaduni wa Mtanzania lakini? Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mh.Dk Emmanuel Nchimbi Ameitaka Kamati Mpya ya Kubuni Vazi la Taifa Kukamilisha Mchakato wa Kupata Vazi hilo Ndani siku 75 H@ki Ngowi: Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mh.Dk Emmanuel Nchimbi Ameitaka Kamati Mpya ya Kubuni Vazi la Taifa Kukamilisha Mchakato wa Kupata Vazi hilo Ndani siku 75 Kwa hisani ya Hakingowi
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,909 Reaction score 10,613 Dec 22, 2011 #25 Neema said: waache waringe na shape zao,sasa mtu kama mie nivae hivyo...si nitachekesha umati lol Click to expand... mbona unavutia sana mrembo?
Neema said: waache waringe na shape zao,sasa mtu kama mie nivae hivyo...si nitachekesha umati lol Click to expand... mbona unavutia sana mrembo?
Kibukuasili JF-Expert Member Joined May 15, 2010 Posts 1,053 Reaction score 616 Dec 22, 2011 #26 Kapendeza lakini!
Konya JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 921 Reaction score 118 Dec 22, 2011 #27 afadhali leo kavaa hivi kesho sijui itakuwaje..
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 10,046 Reaction score 9,344 Dec 22, 2011 #28 Mambo ya 'fulu kujiachia' hayo.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Dec 22, 2011 #29 Biashara matangazo,hujapendezwa potezea.