Unadata na uzuri wa dukaniEti uyu mdada ni mtanzania au?
kwanini wanaochagua miss Tanzania wasimpe?
kuna mdada mzuri kama uyu kweli Tanzania hii?View attachment 1423385
Sent using Jamii Forums mobile app
Come on man, seriously????
Hakuna wa kumpata hakikaUlishawahi kuwaona wanawake wote wa Tanzania?
Hapana sio wa kawaida ndiyo maana kawa popular.Come on man, seriously????
By the way huyo binti anatokea +254, ni wa kawaida mno.
Weka wewe unaempenda basi broKweli kila mtu anapenda anachoona kizuri kwake
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mutatis mutandiskwanza nilidhan fatma karume
Embu muweke demu wako tufanye comparison.Kama huyu Dada ni mzuri kiasi umesema basi nimeamini kuwa Uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu.