Eti unajiita mtoto wa mjini.....!!!!!

Eti unajiita mtoto wa mjini.....!!!!!

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
Unajua ushamba tunazidiana, lakin mimi ni zaidi yako, eti toka nizaliwe sijawahi kuona wamasai wamebeba jeneza ya mwenzao wakiwa wanaenda kuzika, vipi ww mwenzangu unayejiita mtoto wa mjini ushawahi kuona hiyo???
 
Duk! Unajua ni kweli hio,mi maisha yangu yote sijaona.Labda sio kawaida yao kufia mjini.
 
Sasa utaona vp jeneza wkt umezaliwa mjini na utazikwa mjini!nenda loliondo,mto wa mbu,monduli utaona majeneza ya wamasai,kutokana na mila za wamasai,walemavu kwao uchukuliwa km laana au mkosi na hta makabila mengi ya africa yalikuwa na desturi hzo,kwa maana hyo basi kulikuwa na utaratibu wa kuwaua mapema.
 
Back
Top Bottom