Kifaru86 JF-Expert Member Apr 22, 2017 1,734 3,802 Jul 13, 2020 #1 Kama swali linavyojieleza hapo juu Ulijuaje kwa hatua hii tuliyofikia na mpenzi wangu au aliyekuwa mpenzi wako hapa hakuna tena mapenzi na Mimi penzi lake kwako limeshakwisha? Mimi upande wangu nilivyoona mpenzi wangu anaanza kuniponda juu ya tabia zangu nikagundua hapa sina changu.
Kama swali linavyojieleza hapo juu Ulijuaje kwa hatua hii tuliyofikia na mpenzi wangu au aliyekuwa mpenzi wako hapa hakuna tena mapenzi na Mimi penzi lake kwako limeshakwisha? Mimi upande wangu nilivyoona mpenzi wangu anaanza kuniponda juu ya tabia zangu nikagundua hapa sina changu.
Chindy JF-Expert Member Apr 5, 2020 343 695 Jul 13, 2020 #2 Mim nadhani ni kama tu ulivyojuaga kuwa hatua ile mliyofika anakupenda. Ila ngoja wenye experience na mambo ya kuachwa achwa waje wakupe ufafanuzi zaid😂😂😂
Mim nadhani ni kama tu ulivyojuaga kuwa hatua ile mliyofika anakupenda. Ila ngoja wenye experience na mambo ya kuachwa achwa waje wakupe ufafanuzi zaid😂😂😂
MLEVi Mmoja JF-Expert Member Jun 29, 2019 8,466 14,882 Jul 13, 2020 #3 Nadhani ukianza kunyimwa papuchi
Me I and my self JF-Expert Member Sep 16, 2016 4,029 8,637 Jul 13, 2020 #5 Bby njoo leo, Ah leo siwezi kuja ndigi yupo masikini We sinimekuona uko hapo bar unakinywa bia Ah kumbe umeniona,... Nilikuwa tu natania..
Bby njoo leo, Ah leo siwezi kuja ndigi yupo masikini We sinimekuona uko hapo bar unakinywa bia Ah kumbe umeniona,... Nilikuwa tu natania..
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,894 155,915 Jul 13, 2020 #6 Pole sana naona swala hili limekuarhiri sana. MUNGU akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu kama Yesu alivyopita Via Dororosa
Pole sana naona swala hili limekuarhiri sana. MUNGU akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu kama Yesu alivyopita Via Dororosa
katib mkoa JF-Expert Member Jul 12, 2015 1,561 2,142 Jul 13, 2020 #7 MLEVi Mmoja said: Nadhani ukianza kunyimwa papuchi Click to expand... na hili ndo penzi lenyewe
MLEVi Mmoja JF-Expert Member Jun 29, 2019 8,466 14,882 Jul 13, 2020 #8 Hilo ndo kila kitu katib mkoa said: na hili ndo penzi lenyewe Click to expand...
Napoleone JF-Expert Member Apr 11, 2012 10,087 15,961 Jul 13, 2020 #9 Bujibuji said: Pole sana naona swala hili limekuarhiri sana. MUNGU akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu kama Yesu alivyopita Via Dororosa Click to expand... Uzi wako ule watu hawakuelew bujibuji aka gilesi
Bujibuji said: Pole sana naona swala hili limekuarhiri sana. MUNGU akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu kama Yesu alivyopita Via Dororosa Click to expand... Uzi wako ule watu hawakuelew bujibuji aka gilesi
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,652 13,077 Jul 29, 2020 #10 Akianza kulazimisha umle wakati anavujá Nalog off