Eti "uko na kitambi nikikupea utawezana", seriously?

Eti "uko na kitambi nikikupea utawezana", seriously?

Kankonko nikikupea utawezana? Na hicho kitambi utawezana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lastly: Mtoa mada una kitambi cha hela au utapiamlo!!
Haka kawimbo n katam kiaina[emoji3][emoji3][emoji3]
Yan nakatazama tu hapa
Madem wa Kenyans wananfrahisha sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

god is good
 
Shikamoo kitambi.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
FB_IMG_1585834710989.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dada mmoja pale ilula alinidharau kisa nina kitambi nikampa hela ya kutosha mbona usiku alinirushia na kukimbia huku chupi kashika mkononi na nguo zote kwa pamoja dettol ilinisaidia msitudharau wenye vitambi
Dettol ilikusaidiaje

god is good
 
Hivi ladies mnatuchukulia poa sana sisi wenye vitambi eeh?
Ngoja niwaambie kitu, kwa bed we work twice as hard to prove you wrong. Yaani ikiwezekana "from XXL to Jahazi" ili tuweke heshima, sio kila mtu ana kipaji cha Kwenda kushinda Gym.

Ila sitasahau siku nilipokutana na fundi wa kitanga akanitegua kiuno, Asha popote ulipo salute kwako.
Shule ilikuwa ndefu na long distance ndio vilifanya tukaachana, bado nipo kwa benchi lako, ukipewa talaka nitafute. [emoji17][emoji20][emoji21][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Manz yangu alishaniambia nikiwa na kitambi mm na yeye Basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kilicho akilini kitumie
 
Hivi ladies mnatuchukulia poa sana sisi wenye vitambi eeh?
Ngoja niwaambie kitu, kwa bed we work twice as hard to prove you wrong. Yaani ikiwezekana "from XXL to Jahazi" ili tuweke heshima, sio kila mtu ana kipaji cha Kwenda kushinda Gym.

Ila sitasahau siku nilipokutana na fundi wa kitanga akanitegua kiuno, Asha popote ulipo salute kwako.
Shule ilikuwa ndefu na long distance ndio vilifanya tukaachana, bado nipo kwa benchi lako, ukipewa talaka nitafute. [emoji17][emoji20][emoji21][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Okonkwoo umeanzaa kunichochaa...
 
Back
Top Bottom