Eti "uko na kitambi nikikupea utawezana", seriously?

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,504
12,169
Hivi ladies mnatuchukulia poa sana sisi wenye vitambi eeh?
Ngoja niwaambie kitu, kwa bed we work twice as hard to prove you wrong. Yaani ikiwezekana "from XXL to Jahazi" ili tuweke heshima, sio kila mtu ana kipaji cha Kwenda kushinda Gym.

Ila sitasahau siku nilipokutana na fundi wa kitanga akanitegua kiuno, Asha popote ulipo salute kwako.
Shule ilikuwa ndefu na long distance ndio vilifanya tukaachana, bado nipo kwa benchi lako, ukipewa talaka nitafute.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kankonko nikikupea utawezana? Na hicho kitambi utawezana?
Eti nasikia nyie mko na vitambi mnakuwaga na dhakari nene fupi?

Lastly: Mtoa mada una kitambi cha hela au utapiamlo!!
Ni kakonko au Okwonko?
 
Back
Top Bottom