Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,371
- Thread starter
- #21
Bia no, kitimoto na Johnny walker.Cha kitimoto na Serengeti lite? Lazima kiwe kibaya
Bia no, kitimoto na Johnny walker.Cha kitimoto na Serengeti lite? Lazima kiwe kibaya
Me nasikiaga Kakonko 😂Ni kakonko au Okwonko?
Niambie shemeji ana kitambi au ni mtu wa tizi?Kumbe!!!
Toka 2013 naingia gym kwa manati, kila nikipumzika gym kinarudi kwa hasira sijui kinanikomoa 😂Ukiacha kutumika kufutia kioo cha simu, kitambi hakina kazi nyingine. Kitoe mkuu.
Mwana marathon kitambi anatoa wapi[emoji1745]Niambie shemeji ana kitambi au ni mtu wa tizi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Me nasikiaga Kakonko [emoji23]
Basi kuna uwezekano anatoa dozi kwa viwango vinavyotakiwa. Kitambi, kiwe kidogo au kikubwa ni kitu kibaya sana kwa afya ya mwanaume rijali.Mwana marathon kitambi anatoa wapi[emoji1745]
Duh dada umetisha "cha utapiamlo" tenaKankonko nikikupea utawezana? Na hicho kitambi utawezana? 😂😂😂😂😂
Eti nasikia nyie mko na vitambi mnakuwaga na dhakari nene fupi?
Lastly: Mtoa mada una kitambi cha hela au utapiamlo!!
Si ndio maana nikasema tunajituma zaidi ya mara 2 kufidia hiko kiba100 😂, kupiga guitar kama ukiweza unapiga miluzi kabisaSi wanasema ze biga ze kitambi ze mjamaa izi kunywea and pua gemu.
Hahaha we jamaa unaonekana unapenda sana kula, tena misosi heavy[emoji23][emoji23][emoji23]Toka 2013 naingia gym kwa manati, kila nikipumzika gym kinarudi kwa hasira sijui kinanikomoa [emoji23]
Oooh! Basi sawa.Si ndio maana nikasema tunajituma zaidi ya mara 2 kufidia hiko kiba100 [emoji23], kupiga guitar kama ukiweza unapiga miluzi kabisa
Mkiwa navyo halafu mkawa na pesa hamna shida tutatafuta tu namna.[emoji85][emoji85][emoji85]Basi kuna uwezekano anatoa dozi kwa viwango vinavyotakiwa. Kitambi, kiwe kidogo au kikubwa ni kitu kibaya sana kwa afya ya mwanaume rijali.
Kila mtu ana ulevi wake aisee [emoji16]Hahaha we jamaa unaonekana unapenda sana kula, tena misosi heavy[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye vitambi tunajua kupenda na tunajali, na ukiwa na hela huyo binti ni yeye tu aseme anataka nini, ila madada wengi wa Bongo hawalioni hilo wapo radhi wakateseke kwa wapiga chuma wanaoshinda gym, utafikiri wanakula hizo six packs.Mkiwa navyo halafu mkawa na pesa hamna shida tutatafuta tu namna.[emoji85][emoji85][emoji85]
Kankonko nikikupea utawezana? Na hicho kitambi utawezana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lastly: Mtoa mada una kitambi cha hela au utapiamlo!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wenye vitambi tunajua kupenda na tunajali, na ukiwa na hela huyo binti ni yeye tu aseme anataka nini, ila madada wengi wa Bongo hawalioni hilo wapo radhi wakateseke kwa wapiga chuma wanaoshinda gym, utafikiri wanakula hizo six packs.
Wenye vitambi ndio waoaji, washinda gym ni chapa hapa chapa pale Kisha chapa lapa.
Acha wacheze Kwaito kwa harusi za mashosti zao hadi watokee vigimbi [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan hili bandiko ni kuhusu kitambi au Asha .Hivi ladies mnatuchukulia poa sana sisi wenye vitambi eeh!
Ngoja niwaambie kitu, kwa bed we work twice as hard to prove you wrong. Yaani ikiwezekana "from XXL to Jahazi" ili tuweke heshima, sio kila mtu ana kipaji cha Kwenda kushinda Gym.
Ila sitasahau siku nilipokutana na fundi wa kitanga akanitegua kiuno, Asha popote ulipo salute kwako.
Shule ilikuwa ndefu na long distance ndio vilifanya tukaachana, bado nipo kwa benchi lako, ukipewa talaka nitafute. [emoji17][emoji20][emoji21][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha 😂😂😂 kushikiliwa tena, Lazima nihonge nyumbaUkiwa na mkitambi uwe na hela bana... Lazia uwezanishwe tu ata kama inatakiwa kukishikilia [emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ile hali ya kuhisi utapigiwa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mna wivu hatari.