Eti "uko na kitambi nikikupea utawezana", seriously?

Eti "uko na kitambi nikikupea utawezana", seriously?

Hivi ladies mnatuchukulia poa sana sisi wenye vitambi eeh!
Ngoja niwaambie kitu, kwa bed we work twice as hard to prove you wrong. Yaani ikiwezekana "from XXL to Jahazi" ili tuweke heshima, sio kila mtu ana kipaji cha Kwenda kushinda Gym.
Ila sitasahau siku nilipokutana na fundi wa kitanga akanitegua kiuno, Asha popote ulipo salute kwako.
Shule ilikuwa ndefu na long distance ndio vilifanya tukaachana, bado nipo kwa benchi lako, ukipewa talaka nitafute. [emoji17][emoji20][emoji21][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣ukiwa mfupi alafu unakitambi unakua kama.......
 
Kankonko nikikupea utawezana? Na hicho kitambi utawezana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lastly: Mtoa mada una kitambi cha hela au utapiamlo!!
[emoji1787][emoji1787] au cha bia
 
Hivi ladies mnatuchukulia poa sana sisi wenye vitambi eeh!
Ngoja niwaambie kitu, kwa bed we work twice as hard to prove you wrong. Yaani ikiwezekana "from XXL to Jahazi" ili tuweke heshima, sio kila mtu ana kipaji cha Kwenda kushinda Gym.

Ila sitasahau siku nilipokutana na fundi wa kitanga akanitegua kiuno, Asha popote ulipo salute kwako.
Shule ilikuwa ndefu na long distance ndio vilifanya tukaachana, bado nipo kwa benchi lako, ukipewa talaka nitafute. [emoji17][emoji20][emoji21][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
hv kwanini wenye majina ya ASHA,MWAJUMA,MWANAISHA,SIKUJUA,HALIMA,TABU na STELLA huwa ni shiidaaahh yaani wanakatikiamo bila huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni kweli mkuu. Kuna mshikaji tulikuwaga tunampigaga chabo enzi hizo dah!!! Lijamaa linahema kama bata mzinga hahahaha.
Bottom line; kitambi kinashusha performance levels vibaya mno. In fact, overweight tu sio nzuri, unahema ovyo kama mbwa anayetoka mawindoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye vitambi tunajua kupenda na tunajali, na ukiwa na hela huyo binti ni yeye tu aseme anataka nini, ila madada wengi wa Bongo hawalioni hilo wapo radhi wakateseke kwa wapiga chuma wanaoshinda gym, utafikiri wanakula hizo six packs.
Wenye vitambi ndio waoaji, washinda gym ni chapa hapa chapa pale Kisha chapa lapa.
Acha wacheze Kwaito kwa harusi za mashosti zao hadi watokee vigimbi [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hebu leteni uthibitisho wa kitabibu kuwa kitambi kinasababisha performance mbaya kitandani!!!?? Acheni habari za kwenye kahawa na sijaona uhusiano kati ya kitambi na kukosa pumzi kunako mechi. WENYE VITAMBI WANAPIGA SHOW ZA KIBABE KAMA KAWAIDA.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom