Je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa chuo kikuu ikiwa umefeli General studies?

XII Tz

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
4,293
6,957
Habari wakuu

Kuna mtoto wa kaka yangu kwenye matokeo ya form 6 amepata principal passes 2 lakini General studies amepata 7, nilikuwa nauliza je kuna uwezekano wa kuchaguliwa chuo kikuu ikiwa amepata principal passes mbili lakini amefeli General studies..
 
Gs haisabibishwi Mkuu hata akipata F Cha muhimu awe na kuanzi Point cut 4 na kuendelea
 
Habari wakuu

Kuna mtoto wa kaka yangu kwenye matokeo ya form 6 amepata principal passes 2 lakini General studies amepata 7, nilikuwa nauliza je kuna uwezekano wa kuchaguliwa chuo kikuu ikiwa amepata principal passes mbili lakini amefeli General studies..
Kuna mwanangu kapiga F gs yupo mzumbe degree anachukua
 
Habari wakuu

Kuna mtoto wa kaka yangu kwenye matokeo ya form 6 amepata principal passes 2 lakini General studies amepata 7, nilikuwa nauliza je kuna uwezekano wa kuchaguliwa chuo kikuu ikiwa amepata principal passes mbili lakini amefeli General studies..
Kwenye uzi wa Simba uko na maneno mengi kumbe GS inakutoa ulimi nje.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu

Kuna mtoto wa kaka yangu kwenye matokeo ya form 6 amepata principal passes 2 lakini General studies amepata 7, nilikuwa nauliza je kuna uwezekano wa kuchaguliwa chuo kikuu ikiwa amepata principal passes mbili lakini amefeli General studies..
Jibu ni hapana GS haina effect
 
Back
Top Bottom