Wengine wanasema wakiona walet imetuna tayari wanapata na orgasm kabisa.
Ujambazi sio ule wa kuiba na kuuwa na silaha ...........lakini wanawake ndio wajambazi wa kweli
na kweli majanga.....Kuna jamaa alisema kuwa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe sasa dada wa watu kapenda kifua wewe wamwita jambazi tena una-generalize ????!!!!!!!!!. Vipi wewe acah hizo yeye kapenda wewe mapovu ya nini???!!
kwani kuna tatizo hapo????