Dakarai
JF-Expert Member
- Jan 17, 2023
- 741
- 1,372
slow downMhh hii ya universe sijawah ona
Hebu nifundisheee
tubaki kwenye mada
slow downMhh hii ya universe sijawah ona
Hebu nifundisheee
Wabejing 50% 50%Wanaume Ndio walivyo wanapenda kubadilisha watu tabia anakuta unapenda hiki unaambiwa achana nacho Ila yeye anavyopenda hawezi achana navyo
And i love your enegySina life la kupretend
Wabeijing na 50% 50%Wanaume kweli hawabadiliki wana kazi ya kugeuka mbadilisha watu
Tusipangiane maisha
Ukimuelewa mtu hakikisha unaendana nae...
Umemkuta anapiga mini skirts kubaliana na hilo sio tena mtu anaanza unajua me hiki sipendii..
Kama hupendi achanenii
Mbeijing uliye kubuhu!Watu wangejua kuwapendana watu wawili Ni kusapotiana na vitu anavyovipenda mtu,mfumo dume Ndio tatizo wanaendekeza mila
lakini pia nilikuwa namaanisha hivi.Mhh hii ya universe sijawah ona
Hebu nifundisheee
mzabzab umemfanyaje huyu dada mkuuuu 🤣Waungwana naona hii weekend inaishilia hivyooo ila siko poa kabisaaa nahisi moyo unaungua huko ndaniii.
Sasa turudi kwenye hoja ya msingi.....
Unakuta mtu ana mwanamke au mwanaume wake...anajua kabisa huyu mtu wake ana tabia flani tata lakini anakomaa tuu kwa matumaini kwamba atambadilisha mbele kwa mbele...
Unabadilisha mtu wewe umekuwa Mungu uliyemuumba? Unaingia kwenye mahusiano na mtu unayeona mnaendana tabia na mitizamo lakini huendi kwenye mahusiano kubadilisha wanadamu ambao hata aliyewaumba wakati mwingine anajuta kwa nini aliwaumba kwa tabia wanazoonesha.
Awe mke au mume, awe kumegana kisela fanya na mtu mnayeendana. Maana pia unaweza zania unamega kisela mwisho ukanogewa ukabaki mazima.
Unakuta uko na mtu anakushushia page ya 'don'ts' kibaoo ...eti sipendi hiki, sitaki ufanye hivi, sitaki kile.....sawa wapo wanaokubali kubadilika kuendana na upepo lakini mnawafanya waishi fake life ambayo sio maisha yao halisi.
Hivi mpo ambao mliweza wabadilisha wenza wenu na mkafanikiwa kwa 100%?
Neno langu sio amri za kuambiwa changanya na zako.
Tusichoshane.
View attachment 2537682
Nampa hela tuumzabzab umemfanyaje huyu dada mkuuuu 🤣
hapana mkuu,soma kwa kutulia,,akaghairi,,kwa nini amemfanya mwanadamu,Mungu huwa hajuti,aweza kumgeuza kiumbe yeyote vile atakavyo yeye Mungu.Bible imeandika kwamba Mungu alifikia kipindi akajuta kwa nini amemuumba mwanadamu na aliwaza kuwafyekelea mbali.. ndo chanzo cha gharika. Soma kitabu cha mwanzo
Si umeambie muhusika? Au yupo hapa JFWanaume kweli hawabadiliki wana kazi ya kugeuka mbadilisha watu
Tusipangiane maisha
Ukimuelewa mtu hakikisha unaendana nae...
Umemkuta anapiga mini skirts kubaliana na hilo sio tena mtu anaanza unajua me hiki sipendii..
Kama hupendi achanenii