Eti twende hivyo hivyo nitambadilisha

Eti twende hivyo hivyo nitambadilisha

Binafsi sina lengo jingine ninapokuwa na mwanamke zaidi ya mbususu ,nimbadilishe tabia ili iweje ?
Hawa mademu wavaa vikuku, madela, vipini kwenye pua, shanga kiunoni na tattoos huwa nawakubali kwenye mgegedano

Kwa kifupi mademu waliokaa kimalayamalaya nawapendea shoo zao wengi wao hawaniangushi kitandani. Unapiga shoo unainjoi

Burudani wanayokupea unaanzaje kuwabadilisha
 
Si umeambie muhusika? Au yupo hapa JF
Sijaandikia mtu jaman
Me mada zangu huwa siandikii mtu ninatengeneza tukio akilini then natiririka as if nalenga mtu. Na hapo ndo najivunia kwa uandishi bora
 
Back
Top Bottom