Eti twende hivyo hivyo nitambadilisha

Eti twende hivyo hivyo nitambadilisha

Wanaume Ndio walivyo wanapenda kubadilisha watu tabia anakuta unapenda hiki unaambiwa achana nacho Ila yeye anavyopenda hawez achana navyo
Kwa hiyo mnataka tuwaache tu mfanye vile mnavyotaka! Hilo jambo kwa kweli haliwezekani.

Kama wakati nakuapproach ulikuwa unavaa vimin na vipedo, basi tambua fika baada ya ndoa utavaa magauni kama yale ya masister. Maana hakuna namna nyingine.
 
Kwa hiyo mnataka tuwaache tu mfanye vile mnavyotaka! Hilo jambo kwa kweli haliwezekani.

Kama wakati nakuapproach ulikuwa unavaa vimin na vipedo, basi tambua fika baada ya ndoa utavaa magauni kama yale ya masister. Maana hakuna namna nyingine.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mnanishangaza sana
Hata mimi ku a tabia zilikuwa hazivumiliki kweli mke wangu akinibadilisha namshukuru Mungu nimebadilika. Twende mbele tu kuna wanaume wanapenda kubet anaweza bet mpaka vitu vya ndani, wengine walevi sio wanywaji nk Sasa mwendako akitaka ubadilike kuba ubaya gani?

Sasa hata mimi nilishawah badilisha wanawake hapo nyuma ila walikataa nikajua hawa sio riziki yangu. Mfano

1. Sioendi mwanamke anayevaa vimini na vikuku kichwani mwangu inaonyesha hana maadili hata society inachukulia huyu malaya nitamuomba abadilik

2. Sipendi mwanamke wangu awe anashinda kampani za wanaume labda unakuta mko chumbani anaongea na masela aisee hii ni dharau

3. Sipendi mwanamke mambo ya nyumbani kwangu anayapeleka kwao. Yani ukweni ni sehemu ya heshima sana ila hawa wanawake wanapelekea ukakosa heshima ukweni

4. Sipendi mwanamke mwenye kuficha hisia zake mda wote anajinunisha sijui waliambiwaga na nani hii kitu. Yan anaweza hata kukupigia kelele za uongo kitandani kwa kweli huyu hafai.

5. Sipendi mwanamke anayezidisha mautundu ya ovyo kitandani kana kwamba anaangalia porn sana. Kuna mmoja nilikuwa nakula yani mara ajisugue kisimi mara ajinyonye ziwa mara atukane tukane matusi ya nguoni. Nikaona hapa ni.epotea.
Ile ingiza toa anaifanya yeye na kitu kimoja kilinishangaza alimisugua mkunyenge na mikono kama ananipigisha nyeto mikono mikavu hatari ananiumiza. Kwanza mkunyenge wangu hautaki shida na uko sensitive pumbavu kabisa. Mtu ana pusii alafu anipigishe nyeto nikamuomba tuishie hapo najisikia kizunguzungu ila ukweli sikupenda. .

kifupi kila mtu ana haki ya kupenda na kupendwa. Kama una annoying habit sioni sababu ya kukataa kubadilika kama hutaki sitisha mahusiano. Kwa sababu wewe ni mvutaji sigara mwenzako sio mvutani sigara hamuwezi kuendana hata siku mojq asiyevuta anyone kero kubwa sana. .
 
Si naskia vigezo mlibadilisha mkasema wengine mtajulia huko ndani?
Ndio maana nikakwambia ni wachache sana wanacheza hiyo kamari, wanaume walio wengi wanapofanya maamuzi ya kutaka kuoa chaguo lao ni mwanamke mwenye tabia nzuri na aliye tulia.
 
5. Sipendi mwanamke anayezidisha mautundu ya ovyo kitandani kana kwamba anaangalia porn sana. Kuna mmoja nilikuwa nakula yani mara ajisugue kisimi mara ajinyonye ziwa mara atukane tukane matusi ya nguoni. Nikaona hapa ni.epotea.
Ile ingiza toa anaifanya yeye na kitu kimoja kilinishangaza alimisugua mkunyenge na mikono kama ananipigisha nyeto mikono mikavu hatari ananiumiza. Kwanza mkunyenge wangu hautaki shida na uko sensitive pumbavu kabisa. Mtu ana pusii alafu anipigishe nyeto nikamuomba tuishie hapo najisikia kizunguzungu ila ukweli sikupenda. .. .
Hapo pamenichekesha kiasi
Ila asikwambie mtu hasa kwenye mavazi atabadili siku mbili ila ipo siku atavaa tuu
 
Hapo pamenichekesha kiasi
Ila asikwambie mtu hasa kwenye mavazi atabadili siku mbili ila ipo siku atavaa tuu

Nakadori nadhani hujapenda. Ila ukipemda sio mbaya kutaka kimfanya anayekupenda awe na furaha. Kwa nini uvae nguo za ajabu ili umfurahishe nani? Kuna majamaa machafu yanakupigis nyeto huoni kama anakudhalilisha

Yan sio hivyo tu hata wanaume au wanawake wanaokata kata mauno au mapicha ya ajabuu TikTok siwaelewi kabisa. Yani TikTok is totally nonsense inaharibu watu akili kabisa

Sitomlazimisha nitamuomba aachane na mambo hayo kama hataki anataka kuwatingisshia wanaume makalio basi mimi sio mwanaume sahihi kwake. Atapata tu mwanaume mwenye kupenda hayo ili watingishe wote makalio TikTok. .
 
Sema mi naona bado ni 50/50 Maana wapo wanaobadilika kuwa wazuri, na pia wapo wanaokengeuka.

👉Ila siku zote usiweke matumaini kwa binadamu maana hawachelewi kukubalikia, au kukuanguka.
Screenshot_20230305-003823_1.jpg

Honest is an expensive thing, don't expect from cheap people Nakadori
 
Waungwana naona hii weekend inaishilia hivyooo ila siko poa kabisaaa nahisi moyo unaungua huko ndaniii.
Sasa turudi kwenye hoja ya msingi.....

Unakuta mtu ana mwanamke au mwanaume wake...anajua kabisa huyu mtu wake ana tabia flani tata lakini anakomaa tuu kwa matumaini kwamba atambadilisha mbele kwa mbele...

Unabadilisha mtu wewe umekuwa Mungu uliyemuumba? Unaingia kwenye mahusiano na mtu unayeona mnaendana tabia na mitizamo lakini huendi kwenye mahusiano kubadilisha wanadamu ambao hata aliyewaumba wakati mwingine anajuta kwa nini aliwaumba kwa tabia wanazoonesha.

Awe mke au mume, awe kumegana kisela fanya na mtu mnayeendana. Maana pia unaweza zania unamega kisela mwisho ukanogewa ukabaki mazima.

Unakuta uko na mtu anakushushia page ya 'don'ts' kibaoo ...eti sipendi hiki, sitaki ufanye hivi, sitaki kile.....sawa wapo wanaokubali kubadilika kuendana na upepo lakini mnawafanya waishi fake life ambayo sio maisha yao halisi.

Hivi mpo ambao mliweza wabadilisha wenza wenu na mkafanikiwa kwa 100%?
Neno langu sio amri za kuambiwa changanya na zako.

Tusichoshane.

View attachment 2537682
Mkuu?
Mimi nafikiri kuna mambo ambayo huwezi kumbadilisha mtu na kuna mambo ambayo unaweza kumbadilisha mtu.
TATIZO KUBWA NIKWAMBA WANAUME WENGI WANAISHI NA WANAWAKE AMBAO HAWAJUI WANATAKA NIN?

WAKATI WA MAKUTANO SIKU ZA MWANZO NI VEMA MKECHEKIANA YALE AMBAYO NI VIGUMU KUMBADILISHA MTU.

Nakupa mfano wangu mimi binafsi.
chakwanza: nitahoji baba yako yupo wapi? mahusiano yako na baba yako yapoje? umelelewa na baba mzazi? baba yako alikuwa wa aina gani?

Majibu atakayo nipa nitaamua sasa!
 
Mkuu?
Mimi nafikiri kuna mambo ambayo huwezi kumbadilisha mtu na kuna mambo ambayo unaweza kumbadilisha mtu.
TATIZO KUBWA NIKWAMBA WANAUME WENGI WANAISHI NA WANAWAKE AMBAO HAWAJUI WANATAKA NIN?

WAKATI WA MAKUTANO SIKU ZA MWANZO NI VEMA MKECHEKIANA YALE AMBAYO NI VIGUMU KUMBADILISHA MTU.

Nakupa mfano wangu mimi binafsi.
chakwanza: nitahoji baba yako yupo wapi? mahusiano yako na baba yako yapoje? umelelewa na baba mzazi? baba yako alikuwa wa aina gani?

Majibu atakayo nipa nitaamua sasa!
Duhh
Sasa unamuadhibuje mtu kwa makosa ambayo hakuwa na Uchaguzi?
 
He who lays the pipe, gets to lay the ground. If your head right, you get a say.
 
Back
Top Bottom