Eti Tanzania tuko huru, Mpaka ibana uombe Kibari si utumwa huu.

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Uhuru uko wapi, Kuhoji tu kitu fulani Serikalini unawekwa ndani , Uhuru uko wapi
Amani inalindwa kwa kutumia nguvu? Amani ya wapi inalindwa kwa ukandamizaji? OOOO Kenya nini na nini Hamoni aibu?

Oooo Wakenya Wakabila,Tanzania Mpaka leo Jaji Mkuu yuko Mfukon mwa Raisi, Mahakama haiko Huru, Tume ya Uchaguzi Mfukoni mwa Raisi, Msajiri Vilevile.

Tuko tunapelekwa kama Ming'ombe,

Amani hailindwi kwa mitutu kama CCM mnavyofanya, msisuburi mpaka kumwaga damu ndio muone kunatatizo,

Wapeni Watu Uhuru waliopewa na Katiba.
 
Back
Top Bottom