BURTON JNR
Member
- Jul 16, 2014
- 61
- 15
Sasa kama uko makini ushauri unataka wa nini au ushauri gani?
Wewe endelea Kua Kama also alivyo sema just hun hadhi Na usimpe uso kabisaaa ataki mwenzie basi au potelea mbali, akisusaa wenzie walaa....
Chuo gani unasoma tena na uandishi huu labda Chaurembo kompyutingi senta.
Ni kijana 26 miaka npo
chuo.
Mwaka juzi nlimtaka dada mmoja nliehtaji awe wa maisha kwangu aliniambia
sina hata hadhi ya kumgusa, nilifanya ubnadamu kuwa nae karibu ila kwa
sasa ananipa taabu sana muda wote analia ananipenda.
Kuonyesha yupo siriazi kaenda kwa dean of student ili nimuamini
anavyonpenda eti nimkubalie ili asifeli masomo.matusi aliyowahi kunipa
ni kwamba
sina hadhi hata ya kumgusa wala siendani nae, kwamba niwe najiangalia
vzr kabla cjapalamia watu, kwamba hata angenikubalia nisingeweza
kumgegeda kwa kuwa hana hata chembe ya upendo.
Leo anajua nipo na mpenzi mwngne anasema yupo tyr awe spair, eti yupo
tayar kufanya chcht nnachohtaj kwake......
Ushauri ndg zangu nipo makini sana na yote nnayoyafanya.
Thanx much
Ni kijana 26 miaka npo chuo.
Mwaka juzi nlimtaka dada mmoja nliehtaji awe wa maisha kwangu aliniambia sina hata hadhi ya kumgusa, nilifanya ubnadamu kuwa nae karibu ila kwa sasa ananipa taabu sana muda wote analia ananipenda.
Kuonyesha yupo siriazi kaenda kwa dean of student ili nimuamini anavyonpenda eti nimkubalie ili asifeli masomo.matusi aliyowahi kunipa ni kwamba
sina hadhi hata ya kumgusa wala siendani nae, kwamba niwe najiangalia vzr kabla cjapalamia watu, kwamba hata angenikubalia nisingeweza kumgegeda kwa kuwa hana hata chembe ya upendo.
Leo anajua nipo na mpenzi mwngne anasema yupo tyr awe spair, eti yupo tayar kufanya chcht nnachohtaj kwake......
Ushauri ndg zangu nipo makini sana na yote nnayoyafanya.
Thanx much
Soma kwanza mapenzi baadaye ukishakusanya chambichambi...