Eti siku hizi ananikumbuka

Eti siku hizi ananikumbuka

Nianze Kwa Kumnukuu Mtumish M1 Asiyejulikana Inch Yake!

Umelogwaaaaaaaaa!
Nilikuwa Nakuaminiaaaaa
Nikuaminiii Tenaaaaaaaa!
Umeva Pampasiiiiiii.
Umejinyeaaaaaaaa
Nautangazia Uma Kuwa Wewe Nimwenda Wazimuuuuuu!
Tena Wewe Ni Kichaa Mwenye Akili Timamuuuuuuuuuuu!
Hufai Tenaaaaaaaa

Yani Wewe Kati Ya Mabogaz Wewe Ndie Bogaz Namba1
Huo Upuuzi Unagempelekea Huyohuyo Mchepuko Wako! Hv Wewe Huna Hata Wadogo Zako Hizo Pesa Ukawa2mia Angalau Wakalipa Karo Ya Miaka M2
Kila Kukicha Mnalaum Waalm Wanarudisha Watoto Kisa Pesa Ya Dawati Wakati Kunambumbu! Wanachezea Pesa Hawana Mahala Pa Kuzifukia??????

Lakn Mtazamo2 Huo
Ila Ukweli Ni Kwamba Wewe Jamaa Ni Chiz Kati Ya Machz
 
huna akili kabisaaa kati ya wajinga wew unaweza kuws number one
 
Sijui umekula maharage ya wapiiii, nilikuwa nakuheshimu mimiii, sasa sikuheshimu tenaa,....nenda zako mzeeee,ishia zako mzeeee....
ewe sikununu usiye na akili, ni nani aliye kurogaaaaaa!!??
 
Unamaana gani ndugu...Shigongo si ndio yule mfanyabiashara ayeitwa shigongo
Unajua Sukununu hizi hadithi zako zina mafundisho lakini kuna sehemu Exaggeration inazidi
  • huwezi mhonga mwanamke aliyelabuliwa na Mhasibu mwenye hela wewe akakukataa halafu ukajikomba kumpa 500,000/ (mshahara mzima wa Mwl)
  • Mwezi February ulikuwa na Mke na akakuudhi Mke wangu ameniudhi tena leo hunaye tena ndio maana nakufananaisha na Erick bingwa wa hadithi hizi
    Juzi nilileta taarifa ya mke wangu kutojua usafi na kupika dagaa kila siku nilipanga kumfungisha virago but kutokana na huruma ya wanajukwaa nimemuweka chini nmempa tuition na tume draft ratiba ya chakula kwa wiki nzima nikamsamee.
    Sasa kama wiki ya pili kuna suala ambalo tunalishughulikia kwa pamoja na nimemshirikisha wife kwa 100% ingawa mie ndio ninayeangaika nalo.
    Mke wangu aliponiudhi ni pale alipo mwambia baba yake yaani baba mkwe wangu,

Lakini nakupa Bravoooo kwa kuchangamsha Jukwaa
keep it up
 
Wenye pesa zao hao wanamwaga tu, endelea kumpa hizo hela lakini kumbuka huyo bado ana wanaume wenye hela zaidi yako, so kama unapenda maumivu endelea kuwa nae = kinyume chake.
 
Back in the days tunasoma gazeti la Sani'
Sikununu alikuwa mtangazaji wa mpira wa mechi za 'Born Town FC na Bush Stars'
i miss those days

Daah...those days, dumilakuwili on the action, kule lodilofa ndani ya kimkoko chake! Those days were awesome!
 
Niliachana nae kwa kashfa tena matusi juu maana alinisaliti baada ya kutembea na muhasibu wa shirika moja akawa ananipiga vijembe ooh mie sasa hivi nipo na mtunza fedha wewe huna shughuli.

Nikaamua kumpotezea ingawa iliniuma sana maana mie maisha yangu yalikuwa ni kuchezea vibuti tu kila siku kipindi icho.
Maisha yameendelea akaanza kutuma sms za mitego mara oohh mwenzio nakukumbuka sana.

Nikawa namchunia ila baadaye nikaanza kuchat nae.Tumeendelea kuchat ananirazimisha tukatiane mie namkatalia coz siwezi kula matapishi yangu ila amekuwa akinihadithia mambo yake mengi na anaombaga nimsaidie.

Mara nyingi ananiomba hela mwezi wa pili nilimtumia laki 1, mwezi wa tatu nikamtumia laki 2 katika vipindi viwili mwezi wa tano huu ameniomba laki 2 tena. Sasa je mimi ni mtu wa aina gani?

Ni mdhaifu au ninampenda huyu mwanamke maana siku hizi akinipigia simu tunaongea masaa mengi tunakumbusha tukicheka na kufurahi i dont know myself na sitaki turudiane kimapenzi.

Hujielewi for sure
 
Follow ur heart we hate rubbish!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom