Usniambie hujammisi Pimbi na harakati zake.
bado unampenda umekuwa ATM yake endelea kumwaga mahela
Mwache amwage mahelaaaaaaa
acaha uzoba sasa unampa hela za nni???
ujue bado unampenda hadi kuja kujaza server humu JF???
Nadhani ungekuwa mwanaume kamili ungempotezea na wala usingeleta huu ----- wako hapa
Back in the days tunasoma gazeti la Sani'
Sikununu alikuwa mtangazaji wa mpira wa mechi za 'Born Town FC na Bush Stars'
i miss those days
Bila kusahau akina kipepe zena betina na mzee wa madongo lodilofa....
Lakini sani lilinoga zaidi kwa hadithi za akina mzee ole obi na linda
kweli huyu jamaa inabidi aajiriwe Global Publisher ya Shigongo
Hii ni media...and it is not illegal to share experience....
Technology inakuja na vitu vingi na historia inaonyesha binadamu anapenda kushirikisha watu katika vitu anavopitia ili either wengine wajue au kujifunza kupitia hayo as long as my name is not #sikununu and no one will never know me in real life here in jf....i guess it is safe for my marriage.
Vijiwe vimebadilika siku izi mambo yote ni kielectronic...we are doing story in jf while I'm here with my beloved wife watching series #breaking_bad
Kivipi dada mchaga