streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 476
Mkuu umetoa maelezo mengi ila haujamsaidia mleta mada kumuelewesha ni nini maana ya kupitia na shetani.hiyo ni moja ya njia ya binadamu kujifariji/kujitoa kwenye hatia lkn si kwamba watu wote wanapotenda kitu kibaya hawajitambui,no wanajijua ila hutumia kujieleza hivyo kama kujiokoa.. lkn moja kati ya swali nalopenda kuwahoji watu hasa wa dini,ni kama wanasema shetani ndo anawatendesha kwanini hiyo hukumu asipewe shetani pekee bali nayeye anapewa..?
Dini/imani imewasaidia wengi hasa wale wasiokuwa na uwezo wa kuhimili vitu vizito! Mf:unakuta mtu anamzigo wa mawazo,shida,magonjwa,kazi,umaskini n.k anakuwa anajifariji kutokana na imani yake kuwa ipo siku mungu wake atamsaidia n.k so hiyo inaleta hope kubwa tu,tofauti na mtu asieamini/ubongo wake ndo solution au mtu fulani ikitokea ikashindikana kutatuka shida basi mtu huyu kama ni mwepesi anaweza kujiuwa ama kujidhuru kwa namna yoyote.
Mkuu mada inazungumzia mtu kupitiwa na shetani ila wewe unazungumzia habari za dini.Ni porojo.
Pia, huo ndiyo unafiki wa dini zote kwa kumsingizia sijui pepo, mara jini oooh oooh, shetani.
Kwa hiyo, watu wanafanya mambo kwa makusudi ila wanamsingizia ibilisi!!!
Hebu jalibu wewe kusaidia kidogo mkuu ili wengi tueleweMkuu umetoa maelezo mengi ila haujamsaidia mleta mada kumuelewesha ni nini maana ya kupitia na shetani.
Mkuu mada inazungumzia mtu kupitiwa na shetani ila wewe unazungumzia habari za dini.
Msaidia mleta mada kuelewa huko kupitiwa na shetani hasa ndiyo inakuaje?
Hata mimi nipo hapa ili nipate kuelewa maana hasa ya kupitiwa na shetani ambayo hukusudia.
Mkuu hata mimi nipo hapa ili nipate kuelewa maana hasa ya kupitiwa na shetani ambayo watu hukusudia.
Mleta mada anataka kujua kupitiwa na shetani hasa ndiyo inakuaje? sidhani kama kataka kujua nani aliyemtengeneza shetani,hata jambo la uongo pia lina elezwa na mtu anaelewa ila wewe unaona habari za shetani ni uongo ila hujui ni vp maana ya mtu kupitiwa na shetani na pengine ndiyo maana huwezi kuelezea.Chanzo cha shetani si ni hizo dini za wazungu koko na waarabu pori?
Hao si ndiyo wamemtengeneza Mungu na Shetani kwa wakati mmoja?.
Hizo ni porojo za kujitakia eti shetani kakupitia.