Eti Sheikh Kabisa Mkubwa..!ANA HAWARA...!!SASA DINI IKO WAPI

Eti Sheikh Kabisa Mkubwa..!ANA HAWARA...!!SASA DINI IKO WAPI

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,887
Reaction score
15,291
[video]kipozeo[/video]


Wewe sheikh Mkubwa unakuwa na hawara kweli??
Hata kama ukichukia vumilia tuh,ndivyo haqi ilivyo ilivyo,

Sasa dini iko wapi??wewe sheik kisha unakuwa na hawara kweli?

Umeshindwa kabisa kuoa?ndio nin sasa,

Umeshindwa oa wanne,umeshindwa oa watatu,umeshindwa oa wawili,

Umeng'ang'ania mke mmoja tuuh,kwan we MKIRISTO??

Mkiristo ndie anaruhusiwa kuona mke mmoja,sasa wewe kinachokufanya uwe na hawara nin??

Umeng'ang'ania Mke mmoja tuuuh,kwan mama yako mzazi huyo??

EEEH,mama mzazi tuh huwa ndie mmoja mmoja dunia nzima,

SEMA TUH MAISHA YAMEVURUGIKA VURUGIKA,NDIO HIVYO TENA,UNAHOFU UKIOA WENGI UTASHINDWA KUWATUNZA,SEMA MAISHA TUH YAMEVURUGIKA VURUGIKA,

ILA MAMBO YA KUWA NA NYUMBA NDOGO ILI HALI WEWE NI SHEIKH MKUBWA SIO SAWA HATA KIDOGO,

IJMAA KAREEM & WEEKEND NJEMA
 
hahaaa hayo.maneno. niliyasikia kwa video fulani nilirushiwa whatsapp. hiyo.link hapo mbna haifunguki
 
hahaaa hayo.maneno. niliyasikia kwa video fulani nilirushiwa whatsapp. hiyo.link hapo mbna haifunguki

Ni kweli nikiyaskiliza haya manenoo huwa nacheka sana,

NAJARIBU KUIWEKA HII LINK INAGOMA SIJUI TATIZO NINI MKUU,

Ila mambo ya kuwa na hayo mambo sio kabisa,tuache
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom