Eti serikali inaua demokrasia!

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,227
6,666
Linasemwa sana ati Rais anaua demokrasia kwa kuiendesha kibabe.

Hao ni nani! Wengi wao ni wanasiasa wa upinzani. Sababu kubwa ni ati wamenyimwa uhuru wa kuisema Serikali.

Wamekwenda mbali zaidi na kumpachika Rais majina mbalimbali. Kisa, hawakuoneshwa "live" bungeni!

Najiuliza, nchi inayonyima wananchi uhuru huo, ni nchi hiyo hiyo wanamopayuka maneno ya dhihaka, matusi, uchochezi, nk.

Hivi kweli, huo ndo uhuru hao wanasiasa wanautafuta?!!!
 
Acha uongo wewe uhuru upi unaousema??!! Mbona wanaoongea wanaswekwa rumande??
 
Back
Top Bottom