Eti platnum Mironjo! Diamond Bana

Ndo kilele cha mafanikio yake, halafu ni kioo cha jamii. Naweza ona anapoelekea
 
Dogo anakula bata huyu
 
Mbona ana miguu michafu hivyo.....na huyo bidada wa kushoto ana ugonjwa gani kwenye kiuno chae au ni ukurutu ...
 
mh!!! kama kweli ndivyo ufanyavyo,dawa yako inachemka, umaarufu si lazima uwe hivyo!!!!!!!!!!!!!!
 
Acha afanye starehe zote, ndo muda wake huu. Namkumbuka mr. nice enzi zile na TAKEU style yake. Mnakumbuka???????
 
Macho yangu hayaamini kama huyu ndiye
 
kwa hawa vijana wetu wanaokwenda kwa jina la 'wasanii' ni kuwa alipofikia hapo ndipo kwenye peak, kwani kwa bongo unadhani kunamaendeleo zaidi ya kutanua?
 
Na wewe unakumbuka mwisho wake ulivyokua mzuri eeh!!.

Hayo ni matokeo. Na wewe kula starehe zako kwa nafasi yako, hayo ya fainali yatajijua yenyewe. Life is today, tomorrow may never come.
 
Sishangai maana kwa wasanii wa bongo kuwa na mademu ndo wanaona kilele cha mafanikio kuna mmoja alikuwa anahojiwa faida aliyopata kwenye usanii akasema imefanikiwa kumfanya ajulikane na mademu kibao, rubbish!!!!!!!!!!!!
 
I wonder - hivi mtu ukifanikiwa kidogo ndio unaanza maisha ya "ufuska" na kuyaita starehe????? Kuna faida gani kukaa uchi - kufanya ngono - ama kweli UNAWEZA KUWA NA MACHO LAKINI HUONI - UNA MASIKIO LAKINI HUSIKII

TIME IS MONEY .............IF YOU MISUSE YOUR TIME ............YOU LOOSE MONEY .......

SAUTI YAKE DIAMON NZURI = 100% ila MATENDO KATIKA JAMIII ........mh! 0 RATED!!!!!!
Namwombea abadilike awe kioo cha jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…