Wanawake wengine bwana sijui wanajikuta wao wakina nani??
Kila siku tuachane!!! [emoji23] Mwambie nenda , takwimu zinaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume, acha kujiona malaika.
Ukiskiliza kwa makini utagundua lafudhi ya mama J ni ya wale watu wanaokula ndizi sana.
Kumbe ndo maana mwenyekiti DeepPond hua hauishi kuongelea mito ya Dawasco kwake..
Ukiskiliza kwa makini utagundua lafudhi ya mama J ni ya wale watu wanaokula ndizi sana.
Kumbe ndo maana mwenyekiti DeepPond hua hauishi kuongelea mito ya Dawasco kwake..
basi endelea kumng'ang'ania kaka,
lakini nilivyo kusikia uongeaji wako ni kwamba hauna ujanja na umeshaonesha udhaifu mkubwa kwa huyo malaya wako, na ujue hauko pekeako kuna watu wanakula buree
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.