chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,352
- 25,874
Mwenye picha kakupa kibali umeleta picha Yake ili apate shambulio la aibu. Huyuu ni mama wa mtu na mke wa mtu acha udhalilishaji.
Sasa hapo kuna mvuto gani??
Wanaume hata sijawahi kuwaelewa
Huwezi kuelewa kwa kuwa sio mwanaume.Sasa hapo kuna mvuto gani??
Wanaume hata sijawahi kuwaelewa
Homa za watu hizoTupa Kule.
Yaani hapo nikikohoa hata kwa bahati mbaya naenda kujisalimisha polisi maana utakua ni uzembe wa kujitakiaSasa hapo kuna mvuto gani??
Wanaume hata sijawahi kuwaelewa
Huwezi kuelewa kwa kuwa sio mwanaume.
Na wanawake wengi wanafeli kwa kuwa hawawaelewi wanaume.
Yaani hapo nikikohoa hata kwa bahati mbaya naenda kujisalimisha polisi maana utakua ni uzembe wa kujitakia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio kukohoa tuu,na kupaliwa juu.
kwani wewe una mvuto gani? hizo pistol umeziona lakini au kwenye picha una fumba macho kwenye commetn unaandika!!! hizo pistol za huyo mma ni tamu kama pweza wa nazi. upo?Sasa hapo kuna mvuto gani??
Wanaume hata sijawahi kuwaelewa
Kuwa mwanaume utaelewa.Sasa hapo kuna mvuto gani??
Wanaume hata sijawahi kuwaelewa
kwani wewe una mvuto gani? hizo pistol umeziona lakini au kwenye picha una fumba macho kwenye commetn unaandika!!! hizo pistol za huyo mma ni tamu kama pweza wa nazi. upo?
Kuwa mwanaume utaelewa.