Eti nini!!?

Haaa...!!
kweli ndege wafananao huruka pamoja
 
Hajakosea kwa tafsiri na vigezo vyake huyo siyo handsome..
 
Huyo dem atakuwa alipata bahati mbaya ya kuumbwa siku ya sita saa za mwishoni wakati mungu amechoka kufanya kazi na anajiandaa kupumzika siku ya saba.
 
Nawe umejiona umeandika bonge la point!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…