Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

Mambo mengine ni majadiliano na timing.
Nafahamu rafiki zangu wanaume ambao kwao ni mwiko kwa mademu zao kuwala koni.
Kwa hiyo demu kukataa kushikwa nido haishangazi.
Pia kuna demu anakuruhusu ushike nido lakini akibanduka kitandani katu hakuruhusu kuzitazama. Umeonae?
Kwa hiyo soma alama za nyakati chumbani utapata jawabu na maiha ya uroda yanasonga mbele.
 
Mambo mengine ni majadiliano na timing.
Nafahamu rafiki zangu wanaume ambao kwao ni mwiko kwa mademu zao kuwala koni.
Kwa hiyo demu kukataa kushikwa nido haishangazi.
Pia kuna demu anakuruhusu ushike nido lakini akibanduka kitandani katu hakuruhusu kuzitazama. Umeonae?
Kwa soma alama za nyakati chumbani utapata jawabu na maiha ya uroda yanasonga mbele.
ntalifksha mkuu
 
Kwani lazima ushike hapo kifuani?
Halo Pana raha yake kupashika hapo mahali yuko sahihi. kanuni ya ndoa inasema mwanamke hana amri juu ya mwili wake isipokuwa mumewe.na mwanaume hana amri juu ya mwili wake isipokuwa mkewe.
 
Halo Pana raha yake kupashika hapo mahali yuko sahihi. kanuni ya ndoa inasema mwanamke hana amri juu ya mwili wake ila mumewe.na mwanaume hana amri juu ya mwili wake ila mkewe.
umenena point mkuu
 
WAJAMENI JAMAA ANAOMBA USHAURI

Mimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza.

Kinachonisibu hadi nimeamua niombe ushauri kwenu ni tabia ya mke wangu kutopendwa kabisaa kushikwa kifuani tunapokuwa eneo letu la kujiachia, yaani nikifanya hivyo anakuwa mkali sana na kuhamia katika kitanda kingine. Ukiacha hilo, pia hapendi tupeane mabusu,kitendo hicho kinaninyima raha ya mapenzi hadi najuta kwanini nimemuoa au nimuache ?

Nnaombeni ushauri wadau
Eehhh haya makubwa sasa mwezi na siku mbili unataka kumuacha hahahaha utaweza kweli kufikisha hata miaka 7 wewe
 
Mimi nlishawaambia muwe mnawachunguza wake zenu kabla ya kuwaoa ili kuhakikisha sifa zote Unazozitaka. Eti tendo la ndoa hadi unioe. Nani kasema? Hakikisha unamtafuta yule mwenye sifa unazozitaka. Usione aibu kumtema msichana uliemkuta hana sifa na usioe mwanamke usiyejua sifa zake za kitandani. Kuna wanawake nyoko.
Wanawake nyoko ndio wakoje?
 
Eehhh haya makubwa sasa mwezi na siku mbili unataka kumuacha hahahaha utaweza kweli kufikisha hata miaka 7 wewe
ww unaweza vumilia visa vya kwenye ndoa hata wiki?
 
Back
Top Bottom