Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

Moja ya sehemu ninazozipenda mm ndio hizo sasa nikikatazwa kuzishika ina maana huyo mwanamke sina kazi naye tena,komaa bro umshike kwa raha zako
Kuna wengine wanatomasa as if anakanda unga wa chapati so inageuka kero instead of raaa
 
ndo shida ya kuoa bikra
mm njngekua mwanaume ningeoa malaya
malaya anatulia
ana vitu adimu sana[emoji41][emoji41][emoji41]
hawa wadada wanaojifunzia mapenzi ndoani tabu sana.
 
Stori za uongo hizi yan mnaharibu heshima ya majukwaa bwana na jf kwa ujumla aaaah
 
Kwani HUKUSHAKE BEFORE USE kabla ya ndoa?, hizi ndio hasara za kukurupuka katika mambo ya maana
 
Hapa ndiyo naanza kuona faida ya shake well before use......
 
Ndio maana mnashauriwaga mjaribu nguo kabla ya kuinunua
 
Mimi nlishawaambia muwe mnawachunguza wake zenu kabla ya kuwaoa ili kuhakikisha sifa zote Unazozitaka. Eti tendo la ndoa hadi unioe. Nani kasema? Hakikisha unamtafuta yule mwenye sifa unazozitaka. Usione aibu kumtema msichana uliemkuta hana sifa na usioe mwanamke usiyejua sifa zake za kitandani. Kuna wanawake nyoko.
Nimecheka sana eti kuna wanawake Nyoko
 
Kuna kushika na kubonyeza, ukute unabonyeza kama unaangalia upepo kwenye tairi na kuna kubusu na kung'ata. Inawezekana ulipomfanyia siku ya kwanza ulimuumiza hivyo anahisi kushikwa nyonyo na denda ni adhabu na si starehe. Acha papara na mpapase (si kubonyeza) kwa huba uone kama atakataa.
 
Mabusu kama mdomo unanuka ni mtihani! Hilo la matiti linashangaza, ingalikuwa 'kule chini' ningeelewa maana katika hatua za awali kuna ambao hawapo comfortable kuonwa au kushikwa (e.g. kuna mmoja alikuwa mgumu kupindukia nikaja kugundua alikuwa amekeketwa na hakutaka nijue😀😀😀)
Asante mzee, umemaliza possibility zote.
 
Wild and rough......... likes to be ridden like a race horse. Dude got a freaky lady but can't use her............
Hahaha She's like a storm of wild horses
as they thunder across the plains.........too bad the nigga who brought all this up is a square ,he doesn't like smacking that a$$ and pull her hair ......
 
WAJAMENI JAMAA ANAOMBA USHAURI

Mimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza.

Kinachonisibu hadi nimeamua niombe ushauri kwenu ni tabia ya mke wangu kutopendwa kabisaa kushikwa kifuani tunapokuwa eneo letu la kujiachia, yaani nikifanya hivyo anakuwa mkali sana na kuhamia katika kitanda kingine. Ukiacha hilo, pia hapendi tupeane mabusu,kitendo hicho kinaninyima raha ya mapenzi hadi najuta kwanini nimemuoa au nimuache ?

Nnaombeni ushauri wadau

Hakupi mabusu kwa sababu mdomo wako unatoa harufu kali kama kinyesi cha mlevi wa pombe za kienyeji.
 
Mwanamke mzuri wa kuoa ni yule ambaye ametumika kwa kiasi fulani,
Katika pitapita zake amekutana na mabomba ya kila aina, madogo, saizi ya kati na mitarimbo.
Anajua mtu mwenye kibamia dogo style ndio itamfanya ajisikie,
Anajua kunyonya koni, anajua kubana mashine yake, anajua kukata mauno, Anajua mabusu na madenda.
Kwa dunia ya sasa ya utandawazi ukimuoa mwanamke bikira, kuna uwezekano mkubwa ana majini yanayo mtawala maisha yake, ndizo shida unazokutana nazo wewe mleta mada. Yawezekana wewe ni mume mwenza wa jini ambaye hataki chuchu zishikwe na mtu mwingine zaidi yake yeye. Wapo mabikira wa kweli, ila umwi wao miaka kumi na tatu au nne hapo tutasema bado mdogo
 
Utakuwa umeoa sista duu maana hao hawapend matiti yao yawe makubwa so anajua ukiyachezea kila siku yataongezeka
 
Back
Top Bottom