Eti nimeenda kumpa salamu za mwaka mpya!!!

Yarrot

Member
Sep 4, 2011
85
31
Hawa wanaojifanya kwenda kutoa salamu za mwaka mpya na eti kumpongeza mheshimiwa mbona siwaelewi? watu wenyewe wachafu ama ndio wanaenda kuomba uchafu wao usije ukafichuliwa?!! Naomba mwongozo tafadhali mheshimiwa mwenyekiti!:(:(
 
Wanabana matumizi ya hela za umma kwa kutonunua kadi za mwaka mpya. Nathani bei petrol ni kubwa zaidi ya kadi, ndio maana tunasema wastafu wanaakili sana na wameshatuona watanzania hawajui mahesabu.
 
Last edited:
Back
Top Bottom