Eti ni kweli?

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,163
37,801

Ukitaka mwanaume ale visivyoliwa mwambie tu kinaongeza nguvu za kiume!

Ukitaka mwanamke afanye lolote mwambie ni tiba ya kumtuliza mumewe asichepuke!

Kweli mola alituumba kwa kubalance!
 
Haha.. hiyo nomaa


Mkuu slim5 hivi yule jamaa wa south kapatikanaga!
 
Daah... usikute jamaa kataitishwa huko asee.
Tatizo SA ni mult race afu kila mmoja mbabe. Wazulu wababe. Wanigeria wababe. Wazim zim wababe. Wabongo ndio balaa! Nchi kama yao ile!
 
Tatizo SA ni mult race afu kila mmoja mbabe. Wazulu wababe. Wanigeria wababe. Wazim zim wababe. Wabongo ndio balaa! Nchi kama yao ile!
Basi kaamua ku quit JF au labda kababilisha ID mkuu.
 
Tatizo SA ni mult race afu kila mmoja mbabe. Wazulu wababe. Wanigeria wababe. Wazim zim wababe. Wabongo ndio balaa! Nchi kama yao ile![/QUO
Mkiona kimya mjua maisha tight sana,South Africa tofauti na uku tanzania,uku tz ukishikwa sana unaweza hata kumuomba hela rafiki yako rakini kwa south africa tofauti sana
 
umesahau hii ukitakaaa mwanaumeeee akuacheee we omba hela nasemaa we omba helaaaaa tuuuu
 
Daah... usikute jamaa kataitishwa huko asee.
C kuna malori 600 yamekamatw Zambia pamoja na maderva na utingo jumla yao 1200 usikut jamaa nae ni eiza utingo au dereva so kadakwa huko hawez kutoka……!!!
 
Hapo kuna ambao wanaopenda kujaribu kila kitu... Yani wasisikie kitu au tiba lazima waijaribu...

Hao ndiyo wale wala chochote na wafanya chochote...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom