Eti ni kweli wanawake wa kisambaa hawafai kuoa?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Naskia wanawake wa kisambaa ni jeuri na viburi sana kwa waume zao, ila kabla hauja muoa ana kua humble sana kiasi cha kusema umepata mtu mwema wa kuoa, thubutu! muweke ndani uone balaa lake utajuta kuoa.....Haya si maneno yangu bali ni ya jamaa mmoja ambae alikua ananipa tahadhari kuhusu wanawake wa kisambaa wa lushoto huyu jamaa kamuacha mkewe siku si nyingi akidai kua mkewe ni jeuri na kiburi.

Yaweza kua ni kweli kwa sababu si mara moja nawaskia watu wengi walio oa wanawake wa kisambaa wakilalamikia ndoa zao kujosa amani wenye experience zaidi tujuzane aisee tuchukue tahadhari mapemaaa kwani na sisi wengine tumenasa kwenye penzi za totoz za kisambaa.
 
Kama mwanamke wa kikurya anaolewa na kudumu katika ndo ndiyo iwe Msambaa! Nadhani huyo jamaa ndiye dhaifu hajui majukumu yake ni yapi katika familia.

Naskia wanawake wa kisambaa ni jeuri na viburi sana kwa waume zao, ila kabla hauja muoa ana kua humble sana kiasi cha kusema umepata mtu mwema wa kuoa, thubutu! muweke ndani uone balaa lake utajuta kuoa.....Haya si maneno yangu bali ni ya jamaa mmoja ambae alikua ananipa tahadhari kuhusu wanawake wa kisambaa wa lushoto huyu jamaa kamuacha mkewe siku si nyingi akidai kua mkewe ni jeuri na kiburi.

Yaweza kua ni kweli kwa sababu si mara moja nawaskia watu wengi walio oa wanawake wa kisambaa wakilalamikia ndoa zao kujosa amani wenye experience zaidi tujuzane aisee tuchukue tahadhari mapemaaa kwani na sisi wengine tumenasa kwenye penzi za totoz za kisambaa.
 
Lia lia hivyo hivyo wenzako wanawao hao
tongomaaa mgosiii sema tu hauko makini.
 
daah umenikumbusha gari moja hivi kule kwetu lilikua limeandikwa zafanana kipindi hicho niko darasa la awali najifunza kusoma na kuandika ilikua nikikuta ukuta lazma niliandike hilo neno.
 
Back
Top Bottom