Eti ni kweli na imewahi kukutokea.

Eti ni kweli na imewahi kukutokea.

Hahah umenikumbusha mbali sana chaliangu,Nilileteanaga nongwa na mamsi flani ivi,,sasa Babaako nikafuta namba ake akati kichwani nishaikariri,Day moko akan'tumia sms kwenye Kitilili angu "Mambo"et nikamjibu "Poa we nani?"akati nishamjua kabisa niyeye!Dah ..!
 
Ipo sana hiyo
Sema kuna wakati unakuwa hutaki kabisa kumfikilia gafla inaona kamsej
Happy birthday ... nilkiwa nakusalimia tu ukiangalia kanamba unaitambua namba moja tu inayoishia na tatu
Mmmh hivi huyu mtu yupo?
Hebu ngoja nimpigie
Baada ya mazungumzo mazuri ukishakata simu taratibu unaanza kuisevu namba tena [emoji28][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3]
Zipo sana hizo
 
Hivi umewahi kugombana na mpenzi wako badae ukafuta namba zake, hasira zilipoisha uka save tena namba zake au ukamtafuta mwenye namba zake ukaomba ili u save tena. au hadi leo yaliisha kabisa na huitaji tena kuzijua namba zake kwanini.
Mwakajuzi nilikorofishana na Demiss nikafuta namba yake ya airtel na tigo 😁😁😁😀😛
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom