Eti ni kweli na imewahi kukutokea.

Eti ni kweli na imewahi kukutokea.

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,473
Reaction score
4,007
Hivi umewahi kugombana na mpenzi wako badae ukafuta namba zake, hasira zilipoisha uka save tena namba zake au ukamtafuta mwenye namba zake ukaomba ili u save tena. au hadi leo yaliisha kabisa na huitaji tena kuzijua namba zake kwanini.
 
Mm yakiisha nadelete kila kitu
Nahisi ndo maana sipat wachumbaa sijui kubembelezaa
kwanini asikubembeleze yeye na wewe ujilegeze kama sehem ya kutupa jiwe gizani kusikilizia.
 
Yan alirud namfukuza mbaya sana kosa langu ukishaniacha au tukigombana sana huwa napoteza hisia za mapenzi
kwanini asikubembeleze yeye na wewe ujilegeze kama sehem ya kutupa jiwe gizani kusikilizia.
 
Nilishawahi kufuta namba but kichwani ilikuwepo, toka 2012 mpaka sasa naikumbuka ni 0762782.....2
 
Kufuta namba na kuitafuta tena ni kawaida kwa wanaume wengi,hasa pale anapopata muda wa kutafakari;wanaume tuna huruma sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom