Ni lazima kila mtu apitie maumivu kwenye mapenzi kabla hajampata mwenza wake?

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Tafiti zilizofanyika na wataalamu wa saikolojia ya mapenzi unaonesha kuwa karibu kila mtu lazima apitie heart break (maumivu kwenye mapenzi) kabla hajampata mwenza wake wa kuishi naye.
 
Inaweza ikawa ni kweli lakini kuna Mambo ya kuzingatia.

1. Ukubwa wa maumivu
2. Uwezo wa moyo kuhimili
3. Mazingira yaliyomzunguka mhusika.

Mtazamo tu
 
Bro achana nae hawa wanawake wasenge Sana aiseeeee. Nilikuwa kama wewe. Nilimpenda mwanamke mmoja wa Kimbulu aiseee sina hamu mie. Alikuja akazaa na mwanajeshi mmoja hivi. Baadae ndipo akanitafuta. Nikamsaidia Kisha akazaa nae tena mtoto wa pili. Kudadeki wanawake Mungu anawaona mbwa nyie.
 
Kwahiyo huyo mwanamke wako ndio anafanya utukane wanawake wote?
 
Mapenzi hayana tofauti na biashara ya ndizi unaweza otea soko, ukawini ama ukapata hasara yakufurahisha.

Cha msingi we penda tu,kupendwa majaliwa.😁😁😁itokee tu
 
Mapenzi ni trayo ende era. Unaweza kubahatisha yule yule wa kwanza akawa soulimeti mkayajenga...au unaweza kuwa na bahati mbaya ukawa we ni mtu wa kuumizwa tu mpaka mwisho. Hakuna fomyula kamanda!
Uko sahihi kabisa mkuu kila mmoja ana njia yake ya kukutana na mwandani wake, wengine mpaka waumizwe ila wengine wana bahati nzuri.
 
Back
Top Bottom