Eti ni kweli afrika kusini bila wazungu ingekuwa kama kongo?

Siyane

Member
Dec 26, 2010
46
9
Eti ni kweli afrika kusini bila wazungu ingekuwa kongo? Kadhalika kongo ama tanzania ingekuwa na wazungu wakazi walowezi ingekuwa afrika kusini?
 
Ni wadai wa hiyo tungo ndivyo wanavyodai. Sababu wanayoitoa ni kwamba wazungu wana akili ya kufanya vitu vikubwa vya maana kuliko waafrika na kwamba waafrika ni wataalamu wa kufanya mambo yaki jinga yasiyo na maana.
 
ukweli ndio huo japo iq ni sawa na ya mzungu ila determination hatuna,we dont have a sense of belonging mshukuru wazungu walifika africa
 
sasa unauliza jibu???...................... na subirini yule mfungwa mtarajiwa mnayemuita mstaafu atakapoingia ikulu................. ndo utajua kuwa hata mtemi mangungo wa msovero alikuwa na uzalendo wa kupigiwa mfano!!.......................

kwa kweli the way African leaders behave................... inashawishi kusema kuwa this continent is too young to be uncolonized................... just imagine how "manufacturers of teachers" become the tycoons of the land baada ya kuupata urahisi walionao!!!!.................... watu ambao kabla ya urahisi wao hawakuwahi hata kuendesha genge la kuuza mchicha at a profit!!.................. and still you claim to have the anti-corruption bureau in tz???................... wanchekesha sana!! (sosi; FF)..........................
 
Binafsi nawapima kupitia mipango na mikakati yao ambayo mara zote huwaletea ustawi wa kimaisha tofauti na nchi za Afrika hasa zenye uhaba wa wazungu kama wakazi. Saddam nadhani kajibu sawia kuhusu masuala ya iq n.k ni watu kama sie lakini nadhani makuzi na mazingira yanayomzunguka mtu kwa kiasi kikubwa yanachangia kumfanya mtu huyo awe nani katika maisha, aishi vipi, aogope nini, aheshimu nini, na afanye mikakati ipi kwa miaka kadhaa ijayo.
 
Back
Top Bottom