Eti ni kwanini? Hebu tuambie...

Nimemuona mamushka! Naanza kutilia mashaka birth certificate yake!
Hahaha! Nilivo mtaalam wa kudesa, kudisco itakuwa ndoto. Mi ni mtaalam wa ku-Sup tu!

Meku si mzawa wewe

Mkuu

Long weekend - Jumamosi itakuwa muafaka: baada ya Ibada ya Mkesha wa Pasaka : Tutakuwa tumewekwa HURU baada ya kumshinda shetani[/QUOTE]

muangalie asiwashinde tena baba Eno



Ubarikiwe na Bwana aliyeziumba Mbingu na Nchi.

Ni yeye pia ndiye aliyewaumba wanadamu wote, kuanzia Adamu, Hawa, mgunduzi wa bia, valeur na mbege.:D:D

hata mbege ipo kwenye list kumbe??
 
Mamushka ngoja nikujoin huko maana naona hapa inaweza ikawa inshu!!

hahaaa kimbia kama ulivomkimbia Mange
mi nipo hapa bana tchaaaaaaaaaaaaaa!!! tuendelee kulijenga taifa
 
bht - Tupo HURU :

"...Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo, mimi nimeushinda ulimwengu" Mat 16:33
 
hahaaa kimbia kama ulivomkimbia Mange
mi nipo hapa bana tchaaaaaaaaaaaaaa!!! tuendelee kulijenga taifa
he he he he mi ntakua naichungulia thread kama guest!! mi vita ya button na vidole siiweze!!
 
Mzee Mwanakijiji: Utastaafu lini siasa uanze mapenzi rasmi? Siasa haina kustaafu?
Firstlady1: Mbona kasi yako ya kupost imepungua, Umeshaanza kwenda Kliniki?
Geoff: Siku hizi umekuwa mpole sana, mshiki kakudhibiti?
PakaJimmy: Kwanini hupendi kwenda kanisani mpaka Kwaresma ianze?
Bigirita: Siku hizi umekuwa Premium Member, unamshauri nini Nyivonduma sir?
Fidel80: Tangu ulipoacha kujiexpress, unahisi umemiss kitu gani?
Carmel: Bado uko desperate kutafuta ile kitu au umefanikiwa? Mbona hutuambii?
Kimey: Hivi ukilala bila kupata kileo unahisi utapunguza siku zako za kuishi?
Kaizer: Hivi bila ku do the needful unahisi kiwango cha kupiga organ kitashuka?
Mwanajamiione: Tangu ulivue pendo hujahisi kuwa unahitaji kulipanda tena?
Bht: Yale mazoezi ya kupunguza uzito yamekusaidia chochote?
Nguli: Unahisi bila freestyle muziki wa kizazi kipya bado hautanoga?
Maria Roza: Unajisikiaje unavyowahamishia wapwa kwenye lile jukwaa lako?
Noname: Hivi ukitumia kiswahili unahisi ujumbe wako hautafika unavyotaka?
Akili Kichwani: Pearl mambo tayari au unaogopa wapwa wasikupoke? Mbona jii?
Sipo: Unaonaje ukirudi mjini? Huoni huko uliko umeshafulia?
Edson: Ile namba ya simu kwanini hutaki kumpa Kaizer? Unaogopa nini?
Next Level: Kwanini unachanganya konyagi na club soda?
Preta: Kwanini unaogopa kutembelea sehemu zenye baridi?
Lily Flower: Kwanini umeamua kurudi Vodacom, Tigo imekuchosha?
Nyamayao; Nimekumisi sana, martenity leave inaisha lini?
Jerome: Hiyo avatar yako, hicho kidole kinamaanisha nini?
Masaki: Huoni kuwa sasa unahitaji kumrudia Mola wako? Pombe imekushinda?
Pearl: Hivi ni lazima uende kazini ndio uwe online JF?
Baba Enock: Lini utanitafuta Viola Pub nikununulie bia baridi?
Dark City: Umeacha tabia yako ya kupekua simu ya mkeo?
Masanilo: Kwanini ulitoroka kwenye ile Rehab? Huwezi kulala bila kunywa?
Shishi: Umeamua kufunga ndoa baada ya kupata kitambi? Ulitesti kwanza?
Charity: Unaonaje ukiacha kazi unayofanya ukawa daktari wangu?

Wengine: Mnahisi kwanini sijawauliza swali? Msijali: Leo ni Furahi dei, nina hangover!

Kaka no comment.
 
The Following 20 Users Say Thank You to Chrispin For This Useful Post: Remove Your Thanks [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=20787"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Akili Kichwani@@AMEPARAM@@View Profile: Akili Kichwani</title>@@AMEPARAM@@Akili Kichwani[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=15825"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: bht@@AMEPARAM@@View Profile: bht</title>@@AMEPARAM@@bht[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=16662"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Bigirita@@AMEPARAM@@View Profile: Bigirita</title>@@AMEPARAM@@Bigirita[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=17204"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Charity@@AMEPARAM@@View Profile: Charity</title>@@AMEPARAM@@Charity[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=20737"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Emanuel Makofia@@AMEPARAM@@View Profile: Emanuel Makofia</title>@@AMEPARAM@@Emanuel Makofia[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=10550"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Fidel80@@AMEPARAM@@View Profile: Fidel80</title>@@AMEPARAM@@Fidel80[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=17682"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: FirstLady1@@AMEPARAM@@View Profile: FirstLady1</title>@@AMEPARAM@@FirstLady1[/ame] (Today), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=13178"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Geoff@@AMEPARAM@@View Profile: Geoff</title>@@AMEPARAM@@Geoff[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=21964"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: ICU@@AMEPARAM@@View Profile: ICU</title>@@AMEPARAM@@ICU[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=11959"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Kaizer@@AMEPARAM@@View Profile: Kaizer</title>@@AMEPARAM@@Kaizer[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=14704"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Kimey@@AMEPARAM@@View Profile: Kimey</title>@@AMEPARAM@@Kimey[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=36"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Masaki@@AMEPARAM@@View Profile: Masaki</title>@@AMEPARAM@@Masaki[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=21040"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Masikini_Jeuri@@AMEPARAM@@View Profile: Masikini_Jeuri</title>@@AMEPARAM@@Masikini_Jeuri[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=11417"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: MwanajamiiOne@@AMEPARAM@@View Profile: MwanajamiiOne</title>@@AMEPARAM@@MwanajamiiOne[/ame] (Yesterday), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=15265"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Mwananzuoni@@AMEPARAM@@View Profile: Mwananzuoni</title>@@AMEPARAM@@Mwananzuoni[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=12588"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Next Level@@AMEPARAM@@View Profile: Next Level</title>@@AMEPARAM@@Next Level[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=10043"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Nguli@@AMEPARAM@@View Profile: Nguli</title>@@AMEPARAM@@Nguli[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=15469"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: PakaJimmy@@AMEPARAM@@View Profile: PakaJimmy</title>@@AMEPARAM@@PakaJimmy[/ame] (27th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=20103"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Preta@@AMEPARAM@@View Profile: Preta</title>@@AMEPARAM@@Preta[/ame] (26th March 2010), [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=9251"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Shishi@@AMEPARAM@@View Profile: Shishi</title>@@AMEPARAM@@Shishi[/ame] (26th March 2010)



Mhh Iribini ...naomba offer ya sijui inaitwa Uhuru Tochi lager au inaitwaje tena Fidel80?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom