Eti nayo hii ni jela!!

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534


Wapumbavu sana hawa wanorway.

Ina fanicha, tv, friji halafu safi. Ni raha kuwa mhalifu Norway.

With comfortable, fully-furnished cells that include televisions and refrigerators, it's nice to be a criminal in Norway. Many of the guards in Halden ...
 
Kinachokosekana ni uhuru
 


First class guest house
 
Mtu kuwa jela ni adhabu tosha lakini huku ni bora ufukiwe shimoni kuliko kuwekwa magereza.
 
uhuru upi mnaosema nyie...... kuna watu wapo uraiani na uhuru hawana.... LIMBWATA
Baba hawa hembu osha haraka hivyo vyombo alafu ukune nazi mi ninalala kidogo, baseman hivi ukimaliza kuku ana nazi niamshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…