eti nasikiaaaaaaa!!!!!!!

eti nasikiaaaaaaa!!!!!!!

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
1.Naskia una sura mbaya mpaka
ukijiangalia kwenye kioo kinaandika
''please wait''
2.Dada zako ni wabaya hadi
mmeweka
tangazo getinieti oa mmoja upate
wa pili
bure
3.Wewe ni mweusi hadi ukibeba
mtoto
anasinzia akidhani giza limeingia
4.kwenu mko wengi hadi mtoto wa
mwisho anaitwa etc....
5.Damu yako tamu mpaka mbu
huja na
vitafunwa
6.kwenu mko wengi mpaka baba
yako
akiingia anasema ''hamjambo
wananchi''
7.kwenu kuchafu mpaka inzi na
mende
huvaa viatu
Ee endelea bac tuone kaa
umeamka..
 
1;Kwenu Mnajifanya wastaarabu had mnajamba kwenye dustben...
2; Kwenu wachoyo had mkimeza mate mnajificha...
 
1.Naskia una sura mbaya mpaka
ukijiangalia kwenye kioo kinaandika
''please wait''
2.Dada zako ni wabaya hadi
mmeweka
tangazo getinieti oa mmoja upate
wa pili
bure
3.Wewe ni mweusi hadi ukibeba
mtoto
anasinzia akidhani giza limeingia
4.kwenu mko wengi hadi mtoto wa
mwisho anaitwa etc....
5.Damu yako tamu mpaka mbu
huja na
vitafunwa
6.kwenu mko wengi mpaka baba
yako
akiingia anasema ''hamjambo
wananchi''
7.kwenu kuchafu mpaka inzi na
mende
huvaa viatu
Ee endelea bac tuone kaa
umeamka..

kuna hii hapa; kuowana tuowane mie na mpenzi wangu halafu watoto wa kuwa nao unipangie weye mbona majanga ! ! !
 
1. kwenu wajinga mpaka kupata leseni mlipelekwa boardng!!!
2. we ni bonge mpaka ukivaa nguo ya njano watoto wanadhani school bus!!
3. we ni mshamba mpaka unang'arisha kiatu wakt unapiga passport
4. ng'ombe wenu kazeeka mki mkamua anatoa mtindi!
5. kwenu maskini hadi mnakulaga ugali kwa storry za nyama!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom