Eti naliamsha dude!!!!!!

heavyload

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
900
497
Hakika nimekuwa shabiki wa hili kundi la muziki wanajiita WEUSI ila hapo kwenye huu wimbo wenu mpya nimegundua mna safari ndefu kuwafikia wanamuziki wenye majina duniani kwakuwa sio wabunifu nyie na nyimbo zenu nyingi ni za kimatukio.....mara "madaraka ya kulevya" mara "naliamsha dude"

Hizo nyimbo zilipaswa kuimwa na kina janjaro,young d na sio nyie. My take to you legends you should come with agendas which draw productive concerns to the public

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee ni uvccm ndo maana imekuuma huna jinsi tulia dawa iingie gamba mkubwa ww
Nagundua kuwa akili yako iko interacted na siasa ndio maana huna uwezo wa kuelewa mambo mengine nje ya siasa. Badilika wewe zwazwa

Hili kundi si ndo lina lina yule jama wa "sitaki kazi"anayejiita mwanamuziki aliyekula kitabu. Kwa hali hii ndo maana hatuendelei maana wasomi makanjanja wasiosoma vilaza. Basi sawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
~~>>>Weusi ni kati ya kundi ambalo wana mistari ya kuunga unga..... Hata wanachokiimba hakina maana yoyote....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom