J jay milioni Member Joined Jan 14, 2015 Posts 19 Reaction score 4 Jan 16, 2015 #1 haya ni matokeo yakudanganywa na Le mutuz....le mutuz weka mbali na watoto hatareee. Attachments 1421388975020.jpg 27.4 KB · Views: 819
W wakumwamasaga JF-Expert Member Joined Dec 24, 2014 Posts 246 Reaction score 71 Jan 16, 2015 #2 kwani Le Mutuz ni mwalimu au le mutuz linahusikaje na hayo majibu ya huyo mwanafunzi?
J jay milioni Member Joined Jan 14, 2015 Posts 19 Reaction score 4 Jan 16, 2015 Thread starter #3 mkuu #wakumwamasaga ...rejea title...huu ni uwanja wa jokes
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,037 Jan 16, 2015 #4 Duh!! Sasa mbona mwalimu naye akaandika matusi....
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,360 Jan 17, 2015 #5 everlenk said: Duh!! Sasa mbona mwalimu naye akaandika matusi.... Click to expand... Hakuna mwalimu wala mwanafunzi hapo!!!!! Hayo yameandikwa na mtu mmoja tu. Angalia herufi: a, d, g na f.
everlenk said: Duh!! Sasa mbona mwalimu naye akaandika matusi.... Click to expand... Hakuna mwalimu wala mwanafunzi hapo!!!!! Hayo yameandikwa na mtu mmoja tu. Angalia herufi: a, d, g na f.
M mpimbi Member Joined Mar 12, 2013 Posts 46 Reaction score 5 Jan 17, 2015 #6 daaaaaaaah huyu mutoto ni mweusi aiseeeeee:bange: :majani7:
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Jan 17, 2015 #7 Mashaxizo said: Hakuna mwalimu wala mwanafunzi hapo!!!!! Hayo yameandikwa na mtu mmoja tu. Angalia herufi: a, d, g na f. Click to expand... Yeah, kafanya just kujifurahisha tu
Mashaxizo said: Hakuna mwalimu wala mwanafunzi hapo!!!!! Hayo yameandikwa na mtu mmoja tu. Angalia herufi: a, d, g na f. Click to expand... Yeah, kafanya just kujifurahisha tu
kapyaru Senior Member Joined Jan 10, 2015 Posts 154 Reaction score 12 Jan 20, 2015 #8 Tehe tehe tehe tehe musuri