Eti na sisi tulisoma

Dee Mallz

Member
Jan 19, 2017
30
22
Ila kina Lissu nao wana maswalii duuu

Lissu:Umesoma

Shahidi:Ndio

Lissu: Una uelewa wa kidogo wa mambo ya sheria?

Shahidi: Mi hayo mambo ya sheria za mahakamani sijui,maana nilisoma Physics

Lissu: Hata Newton's Law of Motion si sheria pia?Nayo huijui!?

Shahidi: Najua...Zipo kama tatu

Lissu :Ok ok...Sasa unaweza kutuambia why the last drop of urine doesn't obey
the law of gravity unless u shake it
well!!

Shahidi:Mimi hiyo sikuisoma

Lissu:Sasa kitu ulichosema unakifahamu,sasa unasema hujui,sasa huoni hata huo ushahidi unaosema ulikuwepo hapa unaweza kuwa unaongea kitu usichokijua?

Shahidi:Sijui
 
Mhhhhh hiii Kali,kweli usomi unatofautia sana inategemea na unachosomea kwenye Sheria akina lisu shidaaa
Ila kina Lissu nao wana maswalii duuu

Lissu:Umesoma

Shahidi:Ndio

Lissu: Una uelewa wa kidogo wa mambo ya sheria?

Shahidi: Mi hayo mambo ya sheria za mahakamani sijui,maana nilisoma Physics

Lissu: Hata Newton's Law of Motion si sheria pia?Nayo huijui!?

Shahidi: Najua...Zipo kama tatu

Lissu :Ok ok...Sasa unaweza kutuambia why the last drop of urine doesn't obey
the law of gravity unless u shake it
well!!

Shahidi:Mimi hiyo sikuisoma

Lissu:Sasa kitu ulichosema unakifahamu,sasa unasema hujui,sasa huoni hata huo ushahidi unaosema ulikuwepo hapa unaweza kuwa unaongea kitu usichokijua?

Shahidi:Sijui
 
Mahakamani huwa kuna maswali ya mtego lazima uwe makini, mfano:
Mwanasheria: Shahidi, unaweza kuithibitishia mahakama tukufu iliyo mbele yako kuwa ni mara yako ya ngapi kutoa ushahidi batili?

Shahidi: Ni mara yangu ya sita. (Hapa hakuelewa neno batili)
 
Kabisa-kabisa
Na hii mitego ya maswali inachota watu wengi Mno!
Lazima uwe makini katika kusikiliza neno kwa neno na kulifanyia upembuzi kwa mda Mfupi, Sasa hapa Ndio shughuli ilipo kwa Watu wengi.
 
NYINGINE HII YA MASWALI YA MITEGO MAHAKAMANI
Jamaa aliua, shahidi alikuwa umbali wa hatua 6 akitizama. Kesi ikaenda mahakamani.
WAKILI: Shahidi, unaweza kuithibitishia mahakama tukufu iliyo mbele yako wakati muuaji anafanya mauaji ulikuwa umbali wa *Kilomita ngapi?*
SHAHIDI: Kilomita 6
(Hakujua Km ni umbali kiasi gani, akaingia cha watoto)
 
Mahakamani huwa kuna maswali ya mtego lazima uwe makini, mfano:
Mwanasheria: Shahidi, unaweza kuithibitishia mahakama tukufu iliyo mbele yako kuwa ni mara yako ya ngapi kutoa ushahidi batili?

Shahidi: Ni mara yangu ya sita. (Hapa hakuelewa neno batili)
Mmh yatak akil ya ziada
 
Back
Top Bottom