Nkyumu
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 332
- 104
Jamaa aliingilia mazungumzo ya warembo na mambo yalikuwa hivi:-
Mrembo wa kwanza: Mie nasoma Bachelor of Education and Mathematics
Mrembo wa pili: Mie nasomea Bachelor of Law
Sasa huyu jamaa nae asiwe nyuma yeye akasema kwa kujiamini..
Jamaa: Mie nasomea Bachelor of Kingereza and Maarifa ya jamii kama mnabisha muanzishe kizungu muone.