Eti mwanamke pia humwaga shahawa?

Eti mwanamke pia humwaga shahawa?

Kwa mfano wale wanaolizika at ze end wanakunya nako ni kufika kileleni ?
 
Watu wanatiririka tu lakini nina wasi wasi mkubwa sana kama wamekielewa wanachochangia.
Anzeni kwanza kuji familiarize ili muelewe shahawa (semen) ni kitu gani.
Naona Watu mpo busy tu kuleta majibu ya swali ambalo halijaulizwa.
 
Wote nyie mnaongea msilo lijua mwanamke hawezi kupata mimba bila ya sperms zake yaani shahawa kukutana na sperms za mwanaume sasa hio habari ya kileleni sijui nini ni habari za kijiweni tu

Hahahaha, mama yangu kumbe niliingizwa chaka na mwalimu wangu wa biology.

Au mimi ndio sikuelewa au hii ni biology ya juu ambayo haikua kwenye kiwango changu cha uelewa.

Inabidi nirudi shule nijifunze vizuri biolojia. Hata mimi nilikua najiuliza mwanamke anapataje mimba, kumbe lazima shahawa zake zikutane na za mwanaume.

Shahawa za mwanamke + shahawa za mwanaume = Mtoto/binadamu.

Huu ndio uzuri wa kujifunza, jamii forum imenipa shule mpya kuhusu mimba inapatikanaje.
 
mwanamke hana shahawa (sperms), ana fluids(kama semens) majimaji yasio kama mkojo au shahawa yanafanana na yale anayotoa mwanaume mwanzo kabla ya sperms, yanayotoka kwenye tezi dume, ila ya mwanamke ni mengi sana na mepesi, yanatoka only ukimstimulate tezi inaitwa skenes gland. Anaweza mwaga hata zaidi ya nusu lita per session. Sio wote wanaweza ila anaweza kujifunza na kumwaga...though inaaminika raha aipatayo akimwaga sio the same kama anapofika kileleni. anaweza afike kileleni bila kumwaga au vyote vitokeee, ila kileleni ni super zaidi. Kumfikisha kileleni mwanamke ni kazi sana yahitaji uvumilivu, stamina na ufundi. Na bado wanadai ujira aisee. Kama hatumiki sana like kwa mwezi mara mbili it is easy. Na pia nae ashiriki mawasiliano kwamba wapi akunwe na kivipi. Na kumbuka wengi wana fake, ukiona ke kama anakata roho macho yana geukia juu anafinya, au kuvuta shuka au kukukamata kwa nguvu na anatetemeka kifua mwili...hicho ndio kilele....wengi wakifika kileleni hawataki kuendelea na sex, ila akimwaga mnaweza kukesha nae anamwaga tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom